Persie Senior Member Joined May 2, 2012 Posts 188 Reaction score 15 Sep 3, 2013 #1 Naomba kuuliza kwamba eti wakuu nikitaka kuweka mahali pooltable kwenye bar hivi maeneo ya Sinza au ilala malipo yanakua bei gan kwa mwezi yaani ntakayo mlipa mwenye bar kama kodi ~Asante~
Naomba kuuliza kwamba eti wakuu nikitaka kuweka mahali pooltable kwenye bar hivi maeneo ya Sinza au ilala malipo yanakua bei gan kwa mwezi yaani ntakayo mlipa mwenye bar kama kodi ~Asante~