O Olendimu Member Joined Jun 10, 2011 Posts 8 Reaction score 0 Jun 17, 2011 #1 Hatua aliochukua Lissu kwa anne makinda juu ya uendeshwaji wa bunge kwa jazba na itikadi ni sawa kwani kumekuwa n unyanyasaji sana kwa wakombozi wabunge w upinzani esp. Cdm hadi leo mch. Ka2kanwa na (fisadi wa elimu lukuvi) na m/kit kapiga kimya.
Hatua aliochukua Lissu kwa anne makinda juu ya uendeshwaji wa bunge kwa jazba na itikadi ni sawa kwani kumekuwa n unyanyasaji sana kwa wakombozi wabunge w upinzani esp. Cdm hadi leo mch. Ka2kanwa na (fisadi wa elimu lukuvi) na m/kit kapiga kimya.