masatujr1985
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,980
- 789
Nyerere Katupiga afu kubwa sana, kwanza na uhakika BWM hatarudi tene kufungua/kufunga kampeni yeyote ya CCM....
Hakika ni mtu wa muhimu sana katika ushindi tuliopata....
Sasa wanaweza kukaa meza moja na Bwana Benjamin Mkapa na kuondoa tofauti zao za kifamilia.
Hongera sana Vicent Kiboko Nyerere binafsi nilipata kusikiliza campain zako wkt wa uchaguzi mkuu Msoma mjini,hakika kwa sasa nakiri kuwa wewe ni mtaji mkubwa sana wa kisiasa Cdm,
sasa mzee mkapa ataheshimu vijana na sasa ni wakati wake wa kuondoka jumla na kuachana na siasa za kiuendawazimu za ccm kwa heshima ya uzee wake,
Baada ya kupakana matope sasa wakaoge ili wavae nguo safiSasa wanaweza kukaa meza moja na Bwana Benjamin Mkapa na kuondoa tofauti zao za kifamilia.
Nilipenda strategy ya Mbunge Nyerere ya kumleta Meya wa Musoma Mjini aje kuwashuhudia maendeleo yaliyofikiwa na wanamsoma kwa kuichagua Chadema! Jamaa kweli SURURU!
Mkuu Gagu...
Hapa Musoma barabara zote sasa zinapitika na madaraja yanajengwa kwa kasi ya ajabu
Tunangoja phase two ya kuunganisha maji katika sehemu zisizo na maji sasa..
Mstahiki Meya Kisurura na madiwani wa CDM wanafanya kazi kubwa sana hapa na kwa kweli ni mfano wa kuigwa, kwani mpaka sasa mitaro inajengwa katika kiwango cha kuridhisha na kwa kweli kazi ya siasa sasa inafanywa na BAVICHA wakati madiwani wakijikita katika shughuli za maendeleo.
Nyerere ni kijana genius ila si kama GeniusBrain wa JF.
Big up V. Nyerere na CDM:A S 39:
Hivi hili jitu mkapa lililopora mgodi wa kiwira likipewa dakika mbili litoe maoni juu ya matokeo ya uchaguzi arumeru litasemaje?
Kilichotokea Kule Arumeru ni mwanzo wa "MWISHO WA ENZI ZA KI-CCM". watanzania wameelewa mbinu zenu za kitoto za kupoka ushindi kiujanja ujanja, na kujaribu kuigeuza Tanzania nchi ya Kisultani!Mnataka kurithishana hata utumishi wa Umma! Wanaume WAMEKAZA MSULI! Kumbukeni "ALWAYS IS NOT FOREVER"! Ilikuwa hivyo enzi zenu, si sasa! Bravoo Vincent na Crew yako nzima ya ushindi!"Kumchagua Nassari ni kufikisha ujumbe kwa watawala kuwa wana-Arumeru wamechoshwa na utawala mbovu wa serikali ya CCM" by Vicent Nyerere.