Naamini ila inakuwaje halmashauri nyingine sioni pongezi kwa shule zao au kwa sababu hii ni ya kanda maalumHuamini?
Shule nying za umma hali ni Mbaya San.unakuta shule haina mwlim wa phizikia .taarifa tunazo karibia mikoa 6.kuna uhaba wa walimu kwa masomo ya sayansi.je kwa mazingira haya tunajisifiaje kwamba shule za mbabe zinafanya vizur??Naamini ila inakuwaje halmashauri nyingine sioni pongezi kwa shule zao au kwa sababu hii ni ya kanda maalum
Sawa kama matokeo hayo ni genuine,isije ikawa wamepika matokeo ili wamfurahishe mkulu.Si unajua ni aibu shule yenye jina la mkulu kushika mkia.
Barua imesainiwa tarehe 13 Julai 2017 lakini ni kwa ajili ya matokeo ya 2018!!!!
Ujinga tu huu
Kwiikwii watakua wamefaulu sana kiinglish wanatema yai kama jiwe
Cha ajabu.hayo ni matokeo ya shule moja ya chato.kwahiyo Chato imekuwa nchi??Sawa kama matokeo hayo ni genuine,isije ikawa wamepika matokeo ili wamfurahishe mkulu.Si unajua ni aibu shule yenye jina la mkulu kushika mkia.
Kwa matokeo haya inamaana ni shule moja yenye unafuu 23% kati ya shule zote za chato.Hebu watupe matokeo ya wilaya nzima, na matokeo ya shule hiyo over the last five years!