Pongezi Kwa CHADEMA


Inawezekana bila ccm lakini kuongozwa na cdm ni janga.
 
Peoplessss! Chadema babu kubwa,ccm ni hofu ya kuondoka madarakani,hofu hii inatokana na maovu waliyoyafanya ikiwepo kuua watu ,kutesa watu,kuweka watu kiuzuizini,kubambikizia watu kesi za mauaji,ugaidi na uchochezi,ufisadi,wizi,matumizi mabaya ya madaraka,kung'oa watu kucha na meno, nk.
 
ccm ni mzoga tena unaonuka, hawafungui macho jinsi wanavyoanikwa uchafu wao tangu EPA, RICHMOND, KIWIRA, phuuu to hell ccm
 
Kila kutu huchoka hata chuma cha pua ncho huchoka vivyo hivyo ccm nayi inachoka. Kuwa ni viongozi kama kina nape,mwigulu,lukuvi,wassira,kigwa,rage,mkamia hizi ni dalili tosha za kuchoka hakuna tena busara ndani ya chama kwani wenge busara hawatakiwi tena.
 
ugaidi wa chadema
1. kumwagia watu tindikali mf mussa tesha huko igunga
2.kulisha watu sumu mf. denis msaki aliyetaka kulishwa sumu na lwakatare na ben sa8 aliyetaka kumlisha sumu zitto
3.kulipua mabomu na kuua watu mf. arusha\
4.kutishia vikongwe kwa bunduki mf makada wa tabata waliotaka kumuua mamake zitto ili awape nyaraka
 
ccm ni mzoga tena unaonuka, hawafungui macho jinsi wanavyoanikwa uchafu wao tangu EPA, RICHMOND, KIWIRA, phuuu to hell ccm
chadema ni mzoga tena unaonuka, hawafungui macho jinsi wanavyoanikwa uchafu wao tangu KUPORA WAKE ZA WATU,KUENDESHA MADANGURO YA USHOGA MF BILICANAZ, KULISHA WATU SUMU MF LWAKATARE, KUMWAGIA WATU TINDIKALI NK
 
Namimi natangangaza rasmi kuwa POliCCM wakikuchapa na wewe chapa hawana lolote wamechoka wanachosubiri ni kifunguliwa mashtaka ya mauaji ya raia baada ya Cdm kutwaa nchi 2015.
 

una uhakika wa hayo unayoongea , ni kweli ccm hamnazo
 
Tuifie nchi yetu hakuna kulala mpaka kieleweke MACCM full consusion wamewaachia chama Mwigulu NAPE m.kwe.re. Kinana eti ndio think tank ha ha ha my foot
 
Nashauri sasa ifunguliwe account ya bank inayoitwa okoa chadema dhidi ya kesi.hii tasaidia kulipa gharama za usafiri kwa mawakili na washitakiwa kwa kesi za mbali.


Naunga mkono hojaaaaaa
 
Tuko pamoja mkuu katika kuipongeza Chadema....kadiri CCM wanavyo eneza siasa chafu dhidi ya CDM , ndivyo wanavyozidi kuipaisha Chadema...

Magamba siasa zenu za maji taka kwa CDM ndio mtaji wa CDM kama mlikuwa hamjui...
 
Natoa wito kwa graduate tusisubiri kazi za kuajiriwa tujitoe tukagombee nafasi za uongozi katika chama kuanzia shina mpaka Taifa ili tuimarishe chama, pia katika uchaguzi wa mwakani wa serikali za mitaa tupeleke wagombea makini hadi vijijini ambao wataweza kuibana serikali vizuri. Pia tujitokeze katika nafasi za udiwani na ubunge. Mwisho tuwaelimishe vijana wenzetu wajitokeze kwa wingi katika kujiandikisha daftari la wapiga kura. Kwa umoja huo CCM haitakua na chake katika nchi hii
 
Chadema chini ya jemedari mbowe na slaa aaa ccmhawali hawalali jamani, njia nyeupe kwenda ikulu

Halafu magamba ni kama hawafahamu kwamba siasa zao za maji taka, pamoja na kuwabambizia kesi makada wa Chadema ndio wanazidi ipaisha Chadema kilelelni....
Wamekuwa vipofu wala hawaoni
 

Yani mkuu hapo umeongea point ya maana sana...Wakati wa kuboresha daftari la kudumu la wapiga kura inatakiwa vijana wote wahamasishwe kwenda kujiandikisha kupata shahada ya mpiga kura..
 
Kama ulikuwa hujui mambo kama haya unayoyasema ndiyo yanayo ipa credit Chadema....Kwani ndo tuanzidi kuipenda CDM
 
Uzuri wa chadema kila moja ni mfungaji wa goli hakuna specific goal scorer!
Tumewapiga ccm juu na chini mpaka wamejigeuza kuwa chama cha kigaidi
 
Chama kinakosea kubishana/kupakazia viongozi wa CDM badala ya kuongea na sisi wanachama na wafuasi wake.Sisi ndiyo tuna kura ya turufu kwa vyama yvote,hawa CDM wanatuzidi kwa sababu wamesimama wenyewe kwa maana kwamba hawasikilizwi na Polisi na vyombo vingine vya dola!Viongozi wetu wamesahau historia ya huruma ya watanzania hasa jamii moja inapolia kuwa inaumizwa mf.nchi za kusini mwa afrika zilivyosaidiwa na huruma ya waTz.Sasa hivi wengi wanaanza kuamini kuwa Chama kinatumia DOLA zaidi kuliko busara kwani inaonekana kesi ya Igunga inapewa kasi zaidi kwa sababu muathika ni kada wa Chama!Mbona kesi ya Mwangosi haipewi uzito wakati ushahidi uko wazi kabisa.Hayo ni machache nayaona kwa chama!
 
Good comment.

Na kwa taarifa Yao Mipango Yao ya kigaidi ili kuihusisha Chadema haitafanikiwa. Hata mpango wao Wa sasa Wa kumtumia msajili Wa vyama utawatokea puani
 
Sasa nimewekeza nguvu zangu kuwaelemisha ndugu zangu walioko kijijini kuwa CCM haifai tena.

Nafafanue sera ya CDM wakati mwingine kinyumbani ili tu watu wabadilike.
Juzijuzi m/kiti wa kijiji kachaguliwa wa CDM.

Mwakani ntaomba likizo kuwahamasisha wanchi kuifahamu CDM na kuiunga mkono katika uchaguzi wa serikali ya mtaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…