Pongezi kanisa limefungiwa, ila wanapenda amani tunashauri jamhuri imfungulie kesi ya uchochezi na uvunjifu wa amani Askofu Gwajima

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
18,546
Reaction score
14,801
Friends and our enemies,

Kauli za Gwajima ziko wazi,alichokitaka kiko wazi na lengo lake lilikuwa wazi nalo ni kuugombanisha Umma na serikali hususani mamlaka za juu za nchi hii.

Hapa namnukuu...

"HUENDA HAWA WAKUU WA VYOMBO VYA USALAMA NI WAZALENDO,SASA WANAPOSIMAMIA UZALENDO WANAISHIA KUONDOLEWA KWENYE NAFASI ZAO KWA KUWA TUH WANAPINGA VITENDO VYA UTEKAJI,SASA BASI NAUNGA MKONO WAKUU HAWA KUTEULIWA NA RAIS,ILA KABLA YA WAKUU HAWA KUONDOLEWA SABABU ZILETWE KWETU WABUNGE ILI TUJUE KUWA WANAONDOLEWA KWA HAKI AU WANAONEWA KWA UZALENDO WAO?,USIKUTE HAWA WAKUU WANATOLEWA KWA KUWA NIA YAO NI UZALENDO,JAMBO HILI LIKIFANIKIWA BASI UTEKAJI UTAKOMA"...Mwisho wa kumnukuu...

Gwajima, kaongea mengi sana ya hovyo,nimeamua kuchukua hayo machache.

Ukisikiliza kwa umakini kabisa utatambua nia yake ni ipi huyu gwajima.

Nia yake na lengo liko wazi kabisa,ni kuuhusisha mamlaka za nchi hii na vitendo vya utekaji kwa kutaka kujifanya anajenga hoja zake kwa kuzunguka zunguka.

Na kama hiyo haitoshi, akaendelea KUTUMIA eneo la kanisa lake kuendeleza mashambulizi na maneno ya chuki dhidi ya serikali na mamlaka,kwanini mtu huyo asichukuliwe hatua??

Kanisa limepata usajili kwa kuendesha shughuli za ibada na maombi,hizo shughuli alizokawa anaendelea nazo ni miongoni mwa miongozo ya usajili wake??

Kwa maana hiyo TUNAPONGEZA SUALA LA KANISA HILO KUFUNGWA, ILA KWA MUSTAKABALI WA AMANI YA NCHI HII HUYO MTU ASHITAKIWE KWA KESI YA UCHOCHEZI NA UVUNJIFU WA AMANI NDANI YA NCHI.
 
Friends and our enemies,

Kauli za Gwajima ziko wazi,alichokitaka kiko wazi na lengo lake lilikuwa wazi nalo ni kuugombanisha Umma na serikali hususani mamlaka za juu za nchi hii.

Hapa namnukuu...

"HUENDA HAWA WAKUU WA VYOMBO VYA USALAMA NI WAZALENDO,SASA WANAPOSIMAMIA UZALENDO WANAISHIA KUONDOLEWA KWENYE NAFASI ZAO KWA KUWA TUH WANAPINGA VITENDO VYA UTEKAJI,SASA BASI NAUNGA MKONO WAKUU HAWA KUTEULIWA NA RAIS,ILA KABLA YA WAKUU HAWA KUONDOLEWA SABABU ZILETWE KWETU WABUNGE ILI TUJUE KUWA WANAONDOLEWA KWA HAKI AU WANAONEWA KWA UZALENDO WAO?,USIKUTE HAWA WAKUU WANATOLEWA KWA KUWA NIA YAO NI UZALENDO,JAMBO HILI LIKIFANIKIWA BASI UTEKAJI UTAKOMA"...Mwisho wa kumnukuu...

Gwajima,kaongea mengi sana ya hovyo,nimeamua kuchukua hayo machache.

Ukisikiliza kwa umakini kabisa utatambua nia yake ni ipi huyu gwajima.

Nia yake na lengo liko wazi kabisa,ni kuuhusisha mamlaka za nchi hii na vitendo vya utekaji kwa kutaka kujifanya anajenga hoja zake kwa kuzunguka zunguka.

Na kama hiyo haitoshi,akaendelea KUTUMIA eneo la kanisa lake kuendeleza mashambulizi na maneno ya chuki dhidi ya serikali na mamlaka,kwanini mtu huyo asichukuliwe hatua??

Kanisa limepata usajili kwa kuendesha shughuli za ibada na maombi,hizo shughuli alizokawa anaendelea nazo ni miongoni mwa miongozo ya usajili wake??

Kwa maana hiyo TUNAPONGEZA SUALA LA KANISA HILO KUFUNGWA,ILA KWA MUSTAKABALI WA AMANI YA NCHI HII HUYO MTU ASHITAKIWE KWA KESI YA UCHOCHEZI NA UVUNJIFU WA AMANI NDANI YA NCHI.

Angetekwa mzazi wako, mkeo ama mwanao sidhan kama ungeandika haya matakataka hapa.....mjinga ni bora kuliko mpumbavu..... Ficha upumbavu wako
 
Hahaha umesahau, Hata Kanisa la Zumaridi lilifungiwa lakini bado linatoa huduma ya kwenda mbinguni.
 
Friends and our enemies,

Kauli za Gwajima ziko wazi,alichokitaka kiko wazi na lengo lake lilikuwa wazi nalo ni kuugombanisha Umma na serikali hususani mamlaka za juu za nchi hii.

Hapa namnukuu...

"HUENDA HAWA WAKUU WA VYOMBO VYA USALAMA NI WAZALENDO,SASA WANAPOSIMAMIA UZALENDO WANAISHIA KUONDOLEWA KWENYE NAFASI ZAO KWA KUWA TUH WANAPINGA VITENDO VYA UTEKAJI,SASA BASI NAUNGA MKONO WAKUU HAWA KUTEULIWA NA RAIS,ILA KABLA YA WAKUU HAWA KUONDOLEWA SABABU ZILETWE KWETU WABUNGE ILI TUJUE KUWA WANAONDOLEWA KWA HAKI AU WANAONEWA KWA UZALENDO WAO?,USIKUTE HAWA WAKUU WANATOLEWA KWA KUWA NIA YAO NI UZALENDO,JAMBO HILI LIKIFANIKIWA BASI UTEKAJI UTAKOMA"...Mwisho wa kumnukuu...

Gwajima,kaongea mengi sana ya hovyo,nimeamua kuchukua hayo machache.

Ukisikiliza kwa umakini kabisa utatambua nia yake ni ipi huyu gwajima.

Nia yake na lengo liko wazi kabisa,ni kuuhusisha mamlaka za nchi hii na vitendo vya utekaji kwa kutaka kujifanya anajenga hoja zake kwa kuzunguka zunguka.

Na kama hiyo haitoshi,akaendelea KUTUMIA eneo la kanisa lake kuendeleza mashambulizi na maneno ya chuki dhidi ya serikali na mamlaka,kwanini mtu huyo asichukuliwe hatua??

Kanisa limepata usajili kwa kuendesha shughuli za ibada na maombi,hizo shughuli alizokawa anaendelea nazo ni miongoni mwa miongozo ya usajili wake??

Kwa maana hiyo TUNAPONGEZA SUALA LA KANISA HILO KUFUNGWA,ILA KWA MUSTAKABALI WA AMANI YA NCHI HII HUYO MTU ASHITAKIWE KWA KESI YA UCHOCHEZI NA UVUNJIFU WA AMANI NDANI YA NCHI.
Swali je hamteki watu na kuwapoteza kwasasa mnawabaka na kuwalawiti

Munaongoza nchi kwakutumia mfumo wa unyumbu wa kisiasa

Unyumbu wa kisiasa ni mfumo unao wezesha wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki), a.k.a kujizima data kwassa uchawa, tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo

Kunyamaza siyo kipimo cha amani bali ni kusalimu amri kwa majukumu ya kijamii ama kitaifa

Silence surrenders public responsibilities
 
Swali je hamteki watu na kuwapoteza kwasasa mnawabaka na kuwalawiti

Munaongoza nchi kwakutumia unyumbu wa kisiasa

Unyumbu wa kisiasa ni mfumo unao wezesha wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki), a.k.a kujizima data kwassa uchawa, tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo
MSIKILIZE VIZURI,AMESEMA WANAOTEKA WANA BARAKA KUTOKA MAMLAKA ZA JUU,UNATAKA AACHWE??
 
Friends and our enemies,

Kauli za Gwajima ziko wazi,alichokitaka kiko wazi na lengo lake lilikuwa wazi nalo ni kuugombanisha Umma na serikali hususani mamlaka za juu za nchi hii.

Hapa namnukuu...

"HUENDA HAWA WAKUU WA VYOMBO VYA USALAMA NI WAZALENDO,SASA WANAPOSIMAMIA UZALENDO WANAISHIA KUONDOLEWA KWENYE NAFASI ZAO KWA KUWA TUH WANAPINGA VITENDO VYA UTEKAJI,SASA BASI NAUNGA MKONO WAKUU HAWA KUTEULIWA NA RAIS,ILA KABLA YA WAKUU HAWA KUONDOLEWA SABABU ZILETWE KWETU WABUNGE ILI TUJUE KUWA WANAONDOLEWA KWA HAKI AU WANAONEWA KWA UZALENDO WAO?,USIKUTE HAWA WAKUU WANATOLEWA KWA KUWA NIA YAO NI UZALENDO,JAMBO HILI LIKIFANIKIWA BASI UTEKAJI UTAKOMA"...Mwisho wa kumnukuu...

Gwajima,kaongea mengi sana ya hovyo,nimeamua kuchukua hayo machache.

Ukisikiliza kwa umakini kabisa utatambua nia yake ni ipi huyu gwajima.

Nia yake na lengo liko wazi kabisa,ni kuuhusisha mamlaka za nchi hii na vitendo vya utekaji kwa kutaka kujifanya anajenga hoja zake kwa kuzunguka zunguka.

Na kama hiyo haitoshi,akaendelea KUTUMIA eneo la kanisa lake kuendeleza mashambulizi na maneno ya chuki dhidi ya serikali na mamlaka,kwanini mtu huyo asichukuliwe hatua??

Kanisa limepata usajili kwa kuendesha shughuli za ibada na maombi,hizo shughuli alizokawa anaendelea nazo ni miongoni mwa miongozo ya usajili wake??

Kwa maana hiyo TUNAPONGEZA SUALA LA KANISA HILO KUFUNGWA,ILA KWA MUSTAKABALI WA AMANI YA NCHI HII HUYO MTU ASHITAKIWE KWA KESI YA UCHOCHEZI NA UVUNJIFU WA AMANI NDANI YA NCHI.
Serikali ya hovyo inashindwa kuwadhibiti watekaji wasiendelee kupoteza raia wako ambayo ni wazalishaji mali na walipa kodi.Hiyo ni serikali au kikundi cha wajinga.
 
MSIKILIZE VIZURI,AMESEMA WANAOTEKA WANA BARAKA KUTOKA MAMLAKA ZA JUU,UNATAKA AACHWE??
Kuhusu taarifa uwezo mdogo wa kutasfsiri taarifa unaweza kukusababishia changamoto pia unaweza ukawa na uwezo mzuri wa kutasfsiri taarifa lakini kama huwezi kuchukua hatua sitahiki kwa wakati, kumbe taarifa inaweza kukusababishia changamoto ama yasiyotarajiwa

We are all listening to the same voice note 🎵, since we have different background knowledge, (social inferences), we can not interpret in the same way
 
Back
Top Bottom