Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,142
- 6,947
Kulikuwa na mtambo wa back upHongera kwa Serekali,hongera kwa Rais wetu,Hongera Tanesco na kila anayehusika.Ndani ya muda mfupi,baada ya kuunguwa kwa kituo cha kupozea umeme cha Msamvu,maeneo mengi yamerudi katika,Hali ya kawaida ya Umeme,Hongera sana,wote wanaohusika.
zimeungua ofisi za kituo na siyo kituoHongera kwa Serekali,hongera kwa Rais wetu,Hongera Tanesco na kila anayehusika.Ndani ya muda mfupi,baada ya kuunguwa kwa kituo cha kupozea umeme cha Msamvu,maeneo mengi yamerudi katika,Hali ya kawaida ya Umeme,Hongera sana,wote wanaohusika.
Muhimu umeme,umerudi.Tunawapa hongera wahusika wote.zimeungua ofisi za kituo na siyo kituo
utakuwa ulikuwa unakuwa wa mwisho darasani
Hongera kwa Serekali,hongera kwa Rais wetu,Hongera Tanesco na kila anayehusika.Ndani ya muda mfupi,baada ya kuunguwa kwa kituo cha kupozea umeme cha Msamvu,maeneo mengi yamerudi katika,Hali ya kawaida ya Umeme,Hongera sana,wote wanaohusika.
Backup inawashwa masaa mawili? DuhKulikuwa na mtambo wa back up
Mzee palipo ungua ndioMoyo wa kituo(Control Room), Yard kule ni Ma equipments tu ambayo hayawezi ku operate bila Kupata signal kutoka controlzimeungua ofisi za kituo na siyo kituo
utakuwa ulikuwa unakuwa wa mwisho darasani
Umemfahamisha vizuri,wengi wanajifanya wanajuwa,kumbe kichwani hakuna kitu,kwenye uzalishaji(kiwandani)bila ofisi kazi zitafanyika vipi.Kwenye majengo,ndio ofisi,control rooms nkMzee palipo ungua ndioMoyo wa kituo(Control Room), Yard kule ni Ma equipments tu ambayo hayawezi ku operate bila Kupata signal kutoka control
Tunashukuru sana mpendwa mteja wetuHongera kwa Serikali, hongera kwa Rais wetu. Hongera Tanesco na kila anayehusika. Ndani ya muda mfupi baada ya kuungua kwa kituo cha kupozea umeme cha Msamvu maeneo mengi yamerudi katika hali ya kawaida ya Umeme.
Hongera sana, wote wanaohusika.