Pongezi: Hongera TANESCO kwa kurejesha umeme haraka baada ya mitambo ya kupozea umeme Msamvu kuungua moto

Kikwajuni One

JF-Expert Member
Mar 18, 2013
13,144
6,946
Hongera kwa Serikali, hongera kwa Rais wetu. Hongera Tanesco na kila anayehusika. Ndani ya muda mfupi baada ya kuungua kwa kituo cha kupozea umeme cha Msamvu maeneo mengi yamerudi katika hali ya kawaida ya Umeme.

Hongera sana, wote wanaohusika.
 
Kama ni kweli ni furaha mno maana Kuna baadhi ya vitu vyangu vingekwama Kama umeme ungekuwa tatizo
 
Hongera kwa Serekali,hongera kwa Rais wetu,Hongera Tanesco na kila anayehusika.Ndani ya muda mfupi,baada ya kuunguwa kwa kituo cha kupozea umeme cha Msamvu,maeneo mengi yamerudi katika,Hali ya kawaida ya Umeme,Hongera sana,wote wanaohusika.
Kulikuwa na mtambo wa back up
 
Hongera kwa Serekali,hongera kwa Rais wetu,Hongera Tanesco na kila anayehusika.Ndani ya muda mfupi,baada ya kuunguwa kwa kituo cha kupozea umeme cha Msamvu,maeneo mengi yamerudi katika,Hali ya kawaida ya Umeme,Hongera sana,wote wanaohusika.

Mama anaupiga mwingi.

Comment ya kutisha kwa push gang.
 
Mzee palipo ungua ndioMoyo wa kituo(Control Room), Yard kule ni Ma equipments tu ambayo hayawezi ku operate bila Kupata signal kutoka control
Umemfahamisha vizuri,wengi wanajifanya wanajuwa,kumbe kichwani hakuna kitu,kwenye uzalishaji(kiwandani)bila ofisi kazi zitafanyika vipi.Kwenye majengo,ndio ofisi,control rooms nk
 
Hongera kwa Serikali, hongera kwa Rais wetu. Hongera Tanesco na kila anayehusika. Ndani ya muda mfupi baada ya kuungua kwa kituo cha kupozea umeme cha Msamvu maeneo mengi yamerudi katika hali ya kawaida ya Umeme.

Hongera sana, wote wanaohusika.
Tunashukuru sana mpendwa mteja wetu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom