Teamanaconda
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 602
- 569
Mkuu hujasikia kuwa kuna kitabu kimoja cha dini,kimesema huko peponi tutaikuta pombe na tutagida,yani full kujichotea kwenye mito ya pombe.Wenyewe husema Ukiinywa kwa taadhari kubwa haina Shida. Tatizo Ni kwamba huwezi kunywa kiasi kidogo kila siku, lazima uongeze gradually kadiri siku zinavyoenda hadi ikuharibu magoti.
Kuna fundi ujenzi nilimwomba anifanyie kazi fulani, eti akaogopa kusimama juu ya pipa kisa maungo ya mifupa hayana nguvu, chanzo Ni pombe.
Kwa upande wangu naona Bora hata bangi iruhusiwe halafu pombe ipigwe marufuku kwani sijawahi kumuona mvutabangi anakosa nguvu ya Kufanya kazi au anasababisha ajali barabarani tofauti na walevi wa pombe wafanyavyo.
Hata Matatizo ya nguvu za kiume huwakumba watu Wengi wanaotumia vinywaji vikali.
Samahani mkuu,mbona kuna shekhe mmoja anasema peponi pombe ipo,tena ni tamu sio kama ya hapa Duniani ni chungu.Nakuunga mkono
( يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِنَّمَا الْخَمْرُ وَالْمَيْسِرُ وَالْأَنصَابُ وَالْأَزْلَامُ رِجْسٌ مِّنْ عَمَلِ الشَّيْطَانِ فَاجْتَنِبُوهُ لَعَلَّكُمْ تُفْلِحُونَ )
المائدة (90) Al-Maaida
Enyi mlio amini! Bila ya shaka ulevi, na kamari, na kuabudu masanamu, na kupiga ramli, ni uchafu katika kazi ya Shet'ani. Basi jiepusheni navyo, ili mpate kufanikiwa.
( إِنَّمَا يُرِيدُ الشَّيْطَانُ أَن يُوقِعَ بَيْنَكُمُ الْعَدَاوَةَ وَالْبَغْضَاءَ فِي الْخَمْرِ وَالْمَيْسِرِ وَيَصُدَّكُمْ عَن ذِكْرِ اللَّهِ وَعَنِ الصَّلَاةِ ۖ فَهَلْ أَنتُم مُّنتَهُونَ )
المائدة (91) Al-Maaida
Hakika Shet'ani anataka kutia kati yenu uadui na chuki kwa ulevi na kamari, na akuzuieni kumkumbuka Mwenyezi Mungu na kusali. Basi je, mmeacha?
🤨🤨🤨Walevi njooni wote tuungane kwa pamoja kupinga vikali hili bandiko.
Hakuna jipya kabisaaMkuu biashara hiyo.
serikali inapiga pesa kupitia hiyo biashara.
ngoja wanywaji waje hapa ujibishane nao akinasisi tujifunze uwenda kuna kitu kikubwa huwa tunamiss.
nawasikiaga tu wanasepa shtua upate vibe .
AhsanteNaunga mkono hoja
Huo utafiti wako sample size ni ngapiWatu wanaokunywa juice na soda ndio wanaoongoza kwa unafiki iwe makazini au mtaani.
Unataka pombe ipigwe marufuku unajua Kodi inayolipwa na hayo makampuni?
Una utani wewe 😅Mkuu hujasikia kuwa kuna kitabu kimoja cha dini,kimesema huko peponi tutaikuta pombe na tutagida,yani full kujichotea kwenye mito ya pombe.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Huyo fundi ni lishe sio pombe mpe chakula ana njaa atakufia upate mada kesiWenyewe husema Ukiinywa kwa taadhari kubwa haina Shida. Tatizo Ni kwamba huwezi kunywa kiasi kidogo kila siku, lazima uongeze gradually kadiri siku zinavyoenda hadi ikuharibu magoti.
Kuna fundi ujenzi nilimwomba anifanyie kazi fulani, eti akaogopa kusimama juu ya pipa kisa maungo ya mifupa hayana nguvu, chanzo ni pombe.
Kwa upande wangu naona Bora hata bangi iruhusiwe halafu pombe ipigwe marufuku kwani sijawahi kumuona mvutabangi anakosa nguvu ya Kufanya kazi au anasababisha ajali barabarani tofauti na walevi wa pombe wafanyavyo.
Hata Matatizo ya nguvu za kiume huwakumba watu Wengi wanaotumia vinywaji vikali.
Kuna sheikh hapa mtaani kwetu ukimuona huwezi amini - pombe hanywi ila mpulizaji mzuri sana, jamaa analipuliza utafikiri anakufa kesho.Wenyewe husema Ukiinywa kwa taadhari kubwa haina Shida. Tatizo Ni kwamba huwezi kunywa kiasi kidogo kila siku, lazima uongeze gradually kadiri siku zinavyoenda hadi ikuharibu magoti.
Kuna fundi ujenzi nilimwomba anifanyie kazi fulani, eti akaogopa kusimama juu ya pipa kisa maungo ya mifupa hayana nguvu, chanzo ni pombe.
Kwa upande wangu naona Bora hata bangi iruhusiwe halafu pombe ipigwe marufuku kwani sijawahi kumuona mvutabangi anakosa nguvu ya Kufanya kazi au anasababisha ajali barabarani tofauti na walevi wa pombe wafanyavyo.
Hata Matatizo ya nguvu za kiume huwakumba watu Wengi wanaotumia vinywaji vikali.
Na wanaongoza kwa madeni ya barWatu wanaokunywa juice na soda ndio wanaoongoza kwa unafiki iwe makazini au mtaani.
Unataka pombe ipigwe marufuku unajua Kodi inayolipwa na hayo makampuni?
Ndio Mungu katukataza hapa duniani bcz pombe ya duniani ina madhara ww mwenyeo ni shahidi ajali ngapi zinatokea kisa pombe?watu wanapoteza familia zao kisa pombe na watoto kubaki yatima!Samahani mkuu,mbona kuna shekhe mmoja anasema peponi pombe ipo,tena ni tamu sio kama ya hapa Duniani ni chungu.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Alikiri mwenyewe kuwa pombe Kali ndiyo ilimmalizaHuyo fundi ni lishe sio pombe mpe chakula ana njaa atakufia upate mada kesi
Mkate kuwa divai?!🤔🤔🤔Yesu aligeuza mkate kuwa divai...mimi nani nimpinge...litaamua kaburi...wenzio tuna hisa TBL na TCC ww kawekeze za Bank yyote kama utatufikia...waiter zungusha tena
Sigara ni tumbaku iliyosokotwa kwenye karatasi maalumu, ncha moja huchomwa moto na ncha Nyingine huingizwa katika kinywa cha mpumbavuHivi tofauti ya pombe, bangi, cocain, sigara ni nini?