Pombe:amtongoza shemejiye

pombe ni kisingizio tu inaonyesha wewe tabia yako ni ya ukwale ,jamaa yako naye mvumilivu kweli ningekua mimi ningekutoa nduki mapema sana.
 
Atafute mtu wa makamo aende naye kuomba msamaa...
Siku nyingine akilewa alale hukohuko bar... weka mbali na wake za watu
 
Mwambie siku nyingine akipombeka akamtokee mke ya CHAI CHUNGU
 

Andika kwa lugha ya kistaarabu. After all, this is your private business.
 
Kuna msomi mmoja aliwahi kusema kuwa "..usidharau kitu utakachoambiwa na mtu mwenye hasira na mtu ALIYELEWA..'
Alimaanisha kauli za watu hao huwa zinatoka ndani ya mioyo yao tena kwa dhati kabisa.
 
Ahame haraka sana hapo na aombe msamaha kwa aliyoyafanya, kuendelea kukaa hapo ni hatari kwa maisha yake.
 
Alcohol is a lame excuse.
1. Ahame
2. Ahame
3. Ahame
mengine atajipanga.
 
Kwa lugha ya KIRUMI inaitwa 'INOMINAS VERITAS" Maana yake,penye mvinyo kuna ukweli.!ndo maana wale jamaa zetu wa T...S Wanatumia sana hiyo techn.kupata info!chezea maji ya dhahabu ya ILALA wewe!!
 
Kuna msomi mmoja aliwahi kusema kuwa "..usidharau kitu utakachoambiwa na mtu mwenye hasira na mtu ALIYELEWA..'
Alimaanisha kauli za watu hao huwa zinatoka ndani ya mioyo yao tena kwa dhati kabisa.

"INOMONAS VERITAS"-a.k.a penye mvinyo kuna ukweli!!
 
Aache pombe kuifanya kisingizio yeye alikuwa na wazo hilo, abadilike sio tabia nzuri hata kidogo, anapepo ya ngono akaombewe.
 
Kama kweli anakumbuka kuwa alimtongoza shemeji yake akiwa tingasi, basi alidhamiria...
 
Asisingizie pombe..alienda kunywa ili kuondoa aibu yakumtokea shem alidhamiria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…