Mkuu 51% majority kwenye senate na governors ndio kipigo balaaa???? Tena nmekuza tu ila walipata 24 yaani half ya seneti sasa kipigo gani hapo???
Kwa siasa zilivyo huyo mutua akimuunga mkono odinga kwenye urais hata ngilu pia so obviously watatengeneza coalition ya pamoja ya upinzani come 2022 ukizingatia siasa za kenya za ukabila nafkiri utanielewa namaanisha nni
Kwa ufupi hta kma ameshinda kihalali ila ameshinda kwa simple majority sio kipigo kma unavyotaka kupotosha
una point mkuu Raila is influential ila sasa siasa za Afrika kukumbalika mijini kuliko vijijini kwa upinzani ni kawaida nadhani sababu ni nyingi...ila sasa karibia ngome zote za Raila Uhuru amepenya ndugu meaning walivyotegemea Nasa walichemka tazama Western kwa Mudavadi walijua watazoa kura zote matokeo yake wamegawana na Uhuru...huu uchaguzi umetoa picha mpya Kenya kwamba kumbe ukabila wakiweka pembeni wanaweza kupigakura bila kwa ushawishi wa sera....Raila kwa sasa aede mahakamani akawakilishe kesi na kama ushahidi upo wa kutosha basi mahakama itaamua nini kifanyike...vinginevyo kutegemea watu wachapana ndio aingie serikalini amechemka ukizingatia sio miji yote hio unayodai mikubwa imemsapoti...yeye ni Nairobi,Kisumu na Mombasa...hapo watadhibitiwa tu Matiang'i sio waziri wa mchezoKapigwa kura milion 7???? Hivi odinga akisema afanye maandamano kwenye strongholds zake kenya itakalika??? Kumbuka major cities zote zilimvote odinga hivyo sio kweli kuwa Raila amepigwa ukizingatia anagombea na incumbent president hivyo kajitahidi sana
Pia hakukataa kumuachia musyoka au mudavadi ila walifanya utafiti na wakagundua raila is influencial than the latter and the former sasa ulitaka akatae kugombea??? Hivi kwa akili zako musyoka angemshinda kenyatta wakati hata ukambani kaambiwa wasimvote ngilu ama mutua ila bado wameshinda ndio sembuse Urais???
Hahahahahaa ngome mmewapiga??? Ngome gani hiyo mkuu niambie hata moja ambayo jubilee kaitoa kwa NASA zaidi kidero tu ambaye mlishinda kwa gap ya 100,000 thousand votes pekee hivyo sio significant gap kutuaminisha kuwa NASA stronghold was overrun mfano mombasa mlimuweka kibaraka wenu omar hassan ameaibika!! Machakos kitui mbona hamjazirudishi jubilee ilihali kulikuwa na internal wiper conflicts???Unaonekana kuzijua siasa za Kenya ila kuna maeneo unafaa kurekebishwa wewe mtu wa Zitto Kabwe, au labda wewe Zitto unatuzuga tu humu.
Sasa naomba nikuweke sawa, itakua rahisi kwanza nikupe historia kidogo kuhusu matokeo ya 2013, Jubilee ilitimiza magavana 18 ilhali wa mlengo wa CORD walifikia 23
Sasa leo hii Jubilee wameongeza kutoka kwa hao wa awali 18 hadi 25 na isitoshe wamewapata kutoka kwenye ngome za NASA. Hicho ni kipigo, kwanza ukihesabu wabunge na maseneta yaani hadi wengine wetu tunaanza kuwa na wasiwasi maana upinzani umevunjwa vunjwa kiasi cha kuachia serikali, halafu uongeze kwamba Raila kuna uwezekano mkubwa akastaafu maana tulimtegemea kwenye kupiga mayowe kila wakati uozo ukichipuka.
Hahahahahaa mombasa na nairobi!!!! Hivi unajua hta turkana ana support?? Ukambani huko machakos na kitui umehesabau?? Coast yote je kuaanzia kilifi mpaka malindi huko mombasa kote ni odinga tu kumbuka hata kwa waluhya huko sijui vihiga mpaka busia huko kote ODM tupu!! Mkuu dont underestimate Raila kumbuka ana 7 milion votes!!! Its not easy kufikisha hizo kura against an incumbent ambaye kwenye kila kampeni alizindua kwanza mradi wa mabilion!!!una point mkuu Raila is influential ila sasa siasa za Afrika kukumbalika mijini kuliko vijijini kwa upinzani ni kawaida nadhani sababu ni nyingi...ila sasa karibia ngome zote za Raila Uhuru amepenya ndugu meaning walivyotegemea Nasa walichemka tazama Western kwa Mudavadi walijua watazoa kura zote matokeo yake wamegawana na Uhuru...huu uchaguzi umetoa picha mpya Kenya kwamba kumbe ukabila wakiweka pembeni wanaweza kupigakura bila kwa ushawishi wa sera....Raila kwa sasa aede mahakamani akawakilishe kesi na kama ushahidi upo wa kutosha basi mahakama itaamua nini kifanyike...vinginevyo kutegemea watu wachapana ndio aingie serikalini amechemka ukizingatia sio miji yote hio unayodai mikubwa imemsapoti...yeye ni Nairobi,Kisumu na Mombasa...hapo watadhibitiwa tu Matiang'i sio waziri wa mchezo
Hahahahahaa ngome mmewapiga??? Ngome gani hiyo mkuu niambie hata moja ambayo jubilee kaitoa kwa NASA zaidi kidero tu ambaye mlishinda kwa gap ya 100,000 thousand votes pekee hivyo sio significant gap kutuaminisha kuwa NASA stronghold was overrun mfano mombasa mlimuweka kibaraka wenu omar hassan ameaibika!! Machakos kitui mbona hamjazirudishi jubilee ilihali kulikuwa na internal wiper conflicts???
Hao jubilee mbona wametolewa huko bungoma na kina wafula??? Au hiyo hukuiona kwa ufupi jubilee had the government by now it was supposed to have a moderate advantage of above 65% ya senate na gubernatorial seats sio mnagawana nusu na other parties kwa ufupi ni kwamba jubilee imekataliwa kwenye nusu ya kaunti za kenya because if u have a government for 5 years and still fail to win half of nation's counties it means simpy UMEKATALIWA na wakenya unlike for odinga and NASA who had nothin to lose afterall they had no NASA/CORD government for the last 5 years
All in all conclusion is HALF OF KENYA HAIMTAKI JUBILEE/UHURU.....
Mkuu mbona pia huongelei ambazo jubilee ameangushwa???? Kwa ufupi nimesema jubilee wana 51% majority ya kaunti meaning half of the counties hazimtaki jubilee na uhuru wake ilihali alikuwa na serikali while upinzani haukuwa serikalini!!! Upo hapo???Nafikiri mahesabu ya siasa utakua huyajui vizuri, kila serikali hupoteza sana kwenye kugombea muhula wa pili, nakushangaa ukisema Uhuru alifaa kuwa na zaid ya asilimia 65%. Ukifuata historia ya Kenya, marais wote hushuka umaarufu kadiri wanavyozidi kuwa kwenye madaraka.
Uhuru amefaulu kuongeza asilimia zaidi ya aliyokua nayo kwenye muhula wa kwanza.
Halafu sielewi kile unachong'ang'ania kwenye idadi ya magavana, kumbuka gatuzi nilizoziorodhesha hapa chini hazikua za Jubilee, wamefaulu kuzichukua
GARISSA
KAJIADO
KWALE
LAMU
MARSABIT
NAIROBI
WAJIR
please cast ur vote in the poll above..Yes or No answers please....you can follow up with a short comment afterwards...Five things Raila Odinga said during his CNN interview
Mkuu ukweli huu watu hawauelewi tunabaki kumzodoa Raila bila kuangalia chanzo cha kuanguka kwake!!Mola gani kamkataa mbona formee IEBC chairman Isaack hassan kakiri odinga amechezewa rafu sana kwenye chaguzi kenya or u know better than Him???? Kivuitu je mbona kakiri odinga aliibiwa kura???
Ambacho odinga anaanguka sababu wakikuyu wanaogopa akiingia madarakani atarevenge na kucreate a LUO dynasty and supress kikuyus...... thats it zaidi ya hapo Raila anapendwa na wakenya wote na ndio maana chama chake ndio the only party ambacho kipo kitaifa kuliko vyama vyote from east to west to central to north
Hivi hiyo mikoa uliyoitaja japo juu ni yakujivunia kweli? Hebu weka idadi yawapiga kura wa maeneo hayo au wanachi waoishi huko.Nafikiri mahesabu ya siasa utakua huyajui vizuri, kila serikali hupoteza sana kwenye kugombea muhula wa pili, nakushangaa ukisema Uhuru alifaa kuwa na zaid ya asilimia 65%. Ukifuata historia ya Kenya, marais wote hushuka umaarufu kadiri wanavyozidi kuwa kwenye madaraka.
Uhuru amefaulu kuongeza asilimia zaidi ya aliyokua nayo kwenye muhula wa kwanza.
Halafu sielewi kile unachong'ang'ania kwenye idadi ya magavana, kumbuka gatuzi nilizoziorodhesha hapa chini hazikua za Jubilee, wamefaulu kuzichukua
GARISSA
KAJIADO
KWALE
LAMU
MARSABIT
NAIROBI
WAJIR
Mkuu mbona pia huongelei ambazo jubilee ameangushwa???? Kwa ufupi nimesema jubilee wana 51% majority ya kaunti meaning half of the counties hazimtaki jubilee na uhuru wake ilihali alikuwa na serikali while upinzani haukuwa serikalini!!! Upo hapo???
Pia two wrongs dont make a right eti kwakuwa alikuwa serikalini basi ndio huwa umaarufu unashuka so ndio inajustify uhuru kushuka umaarufu??? Hiyo sio hoja ya msingi kabisa mkuu the thing is odinga had nothin to lose so to gain 7 million votes is a serious message kuwa uhuru hakubaliki kabisa though anajisifia kuwa amefanya maendeleo sana ....
Hivi hiyo mikoa uliyoitaja japo juu ni yakujivunia kweli? Hebu weka idadi yawapiga kura wa maeneo hayo au wanachi waoishi huko.
Muhula wa pili ni kipimo cha muhula wa kwanza. 51% ya Jubilee ni kama unfinished business. Sio safe kufanya maamuzi yoyote ya kidemokrasia, shida inakuja pale baadhi ya wana Jubilee wakiamua kushirikiana na NASA katika mijadala ambyo hawapezani na maamuzi ya Jubilee.
Gatuzi muhimu hapo ni Nairobi tuu, zingine za huko kaskazini na za mashariki ni za kujazia tuu. Miaka mitano ijayo haitakuwa myepesi kwa Jubilee kama wakitaka kuleta mabadiliko makuwa kupitia njia ya kidemokrasia. Labda kama watakuwa wanapitisha kwa maamuzi ya bwana mkubwa (executive orders).Hizo ni gatuzi mpya ambazo hawakua nazo, humo kuna Nairobi yenye wapiga kura 2,304,386, Kajiado yenye 409,266 sasa sielewi unakusudia nini.
Kumbuka 2013 walikua na gatuzi 18 sasa wanazo 25
Mkuu unahesabu nairobi ambayo mmeshinda kwa gap ya kura laki 1??? Unasahau kina shebesh wameachwa kwa kura zaidi ya laki 2 na passaris ??? Huku ODM wakiwa na wabunge kibao hapo nairobi???Hizo ni gatuzi mpya ambazo hawakua nazo, humo kuna Nairobi yenye wapiga kura 2,304,386, Kajiado yenye 409,266 sasa sielewi unakusudia nini.
Kumbuka 2013 walikua na gatuzi 18 sasa wanazo 25
Gatuzi muhimu hapo ni Nairobi tuu, zingine za huko kaskazini na za mashariki ni za kujazia tuu. Miaka mitano ijayo haitakuwa myepesi kwa Jubilee kama wakitaka kileta mabadiliko makuwa kupitia njia ya kidemokrasia. Labda kama watakuwa wanapitosha kwa maamuzi ya bwana mkubwa (executive orders).
Sawa hawajapoteza ila je serikali kuambulia 51% pekee ya kaunti ndio inareflect claims zako kuwa jubilee imeongezeka ushawishi??- Jubilee hawajapoteza kiti chochote cha ugavana kwenda kwa NASA, kuna viti viwili tu ambavyo vimechukuliwa na wagombea binafsi waliokua wanaegemea upande wa Jubilee
- Kiti cha Bungoma unachotaja taja humu hakikua cha Jubilee, ni kwamba gavana aliyekuwepo awali aliamua kukitetea kwa kutumia Jubilee
- Nimekutajia kwamba umaarufu wa Uhuru umeongezeka ukilinganisha na asilimia alizoshinda nazo kwenye uchaguzi wa 2013, kwanza 2017 hawa jamaa wa upinzani waliungana wote dhidi yake
- Pia nimekuambia ni kawaida kwa rais kupunguza umaarrufu wakati anatetea kiti kwa mara ya pili, lakini hilo halikutendeka kwa Uhuru
- Hesabu za chekechea ni kwamba mwaka wa 2013 Uhuru aliibuka na magavana 18, mwaka huu amezoa 25
Mkuu unahesabu nairobi ambayo mmeshinda kwa gap ya kura laki 1??? Unasahau kina shebesh wameachwa kwa kura zaidi ya laki 2 na passaris ??? Huku ODM wakiwa na wabunge kibao hapo nairobi???
Mkuu NASA wana mombasa na kisumu ambapo wapiga kura wake ni wengi kuliko hizo kaunti alizoshinda jubilee
Sawa hawajapoteza ila je serikali kuambulia 51% pekee ya kaunti ndio inareflect claims zako kuwa jubilee imeongezeka ushawishi??
2. Hamna shida kma hakuwa jubilee ila as long as alipigiwa kampeni na uhuru na bado aliangukia pua then inaonyesha kuwa jubilee haikubaliki maana incumbent + support ya rais unaangukaje???
3 umaarufu umeongezeka wakati umemuacha mpinzani kwa kura 1 million?? Yaani five year ndio anaongezeka only 500,000 votes pekee?? Ndio popularity??? Duh its a big joke
4.ni kawaida rais kupungua umaarufu? Ndio nasema two wrongs make a right?? Yaani kisa its a trend basi kenyatta naye akishuka umaarufu ni sawa tu??? Yaani una boastbue popular while 7 million people rejected you??? Yaani half ya nchi haikutaki ndio unasema its normal??
5. Mkuu usizunguke ukweli ni kwamba ana kaunti 24 out of 47!!!! Ndio popular huyo??? Hahahahahahahaha
MkuuMugabe ana miaka 95 hajastaafu, Leo Odinga ana 72 tu unataka asaafu? acha wivu mkuu!
sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
Kazi kweli kweli naona hapa tunaweza kesha kudebate obvious things yaani unasema maeneo bunge 17 then chama chenye serikali kiu kinaambulia 53% ya majimbo ya nairobi its an achievement????Kaka Nairobi Jubilee wameifagia
- Kati ya maeneo bunge 17 wamzeoa 9, kuna maeneo hawakua nayo wamefaulu kuongeza
- Wamechukua ugavana ambao haukua kwenye mikono yao
- Wamedumisha Useneta
- Wakapoteza Mwakilishi wa kina mama ambaye huyo Passaris amepewa kura nyingi na watu wa Jubilee waliompenda