Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
it has nothing to do with age...he should resign because he has held this country hostage...there are 45 million kenyans who are capable of running for president...Kalonzo, Mudavadi etc....my point is that he shld give other ppl a chance...he has already failed 4 times...awachie wengine wagombee pia..Mugabe ana miaka 95 hajastaafu, Leo Odinga ana 72 tu unataka asaafu? acha wivu mkuu!
sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
'resign from active politics'...unajua maana ya hio statement?...the key word is active
Kwa africa hii ?? Sahau haitatokea kwa herufi kubwa kama ile ya makonda'resign from active politics'...unajua maana ya hio statement?...the key word is active
jambo ninalolijua ni kuwa Kalonzo hawezi akamkubali asimame tena....bila shaka akisimama tena Kalonzo atatoka ktk muunganowa NASAKwa africa hii ?? Sahau haitatokea kwa herufi kubwa kama ile ya makonda
Sent using Jamii Forums mobile app
Mola gani kamkataa mbona formee IEBC chairman Isaack hassan kakiri odinga amechezewa rafu sana kwenye chaguzi kenya or u know better than Him???? Kivuitu je mbona kakiri odinga aliibiwa kura???inaweza kuwa kaibiwa kila wakati ila nikama Mola amemkataa kabisa huyu jamaa...bila shaka kuna sababu ya Mola kumkataa odinga kabisa
Kalonzo na Mudavadi nao ni majeruhi wapya wa uchaguzi wa mwaka huu. Dr Mutua ameibuka kama mwanasiasa mwenye nguvu Ukambani akimpiku Kalonzo na wenzake walio kuwa NASA. Akina Mudavadi hawakufanya vema huko kwa Waluya. Hawakufanikiwa kumsaidia Odinga kumshinda Uhuru ktk eneo la jamii yaoit has nothing to do with age...he should resign because he has held this country hostage...there are 45 million kenyans who are capable of running for president...Kalonzo, Mudavadi etc....my point is that he shld give other ppl a chance...he has already failed 4 times...awachie wengine wagombee pia..
notedMola gani kamkataa mbona formee IEBC chairman Isaack hassan kakiri odinga amechezewa rafu sana kwenye chaguzi kenya or u know better than Him???? Kivuitu je mbona kakiri odinga aliibiwa kura???
Ambacho odinga anaanguka sababu wakikuyu wanaogopa akiingia madarakani atarevenge na kucreate a LUO dynasty and supress kikuyus...... thats it zaidi ya hapo Raila anapendwa na wakenya wote na ndio maana chama chake ndio the only party ambacho kipo kitaifa kuliko vyama vyote from east to west to central to north
jambo ninalolijua ni kuwa Kalonzo hawezi akamkubali asimame tena....bila shaka akisimama tena Kalonzo atatoka ktk muunganowa NASA
jambo ninalolijua ni kuwa Kalonzo hawezi akamkubali asimame tena....bila shaka akisimama tena Kalonzo atatoka ktk muunganowa NASA