wakati unaichagua hiyo PSPA ishu ya soko la ajira hukuifikiria au ulikurupuka tu kuchagua pspa kwa kufuata mkumbo??? ok,km hujiamini nakushauri kasome education kwani hutohitaji hata kufanya usaili,ukimaliza tu chuo unapangiwa kazi!!!
by the way,mimi nimesoma PSPA udsm na nimehitimu mwaka 2010 na nipo serikalini km Administrative officer!!!