hata usiposoma education,unaweza kuwa mwalimu na kupga hzo change zao.
Kwani wakati unachagua hiyo kozi,ulishurutishwa?
Kozi yoyote ile iliyopo vyuoni ina ajira (kuajiriwa na kujiajiri).
Kapige msuli wa nguvu,huko utapata kujua zaidi fursa unazoweza pata kupitia hiyo kozi unayoisoma.