Acha kukatisha watu tamaa kama ingekua hailipi ao malecturer wanaofundisha, wanafundisha bure au? Na kwanini watu waendelee kupoteza pesa kuisoma, we kapige education Stella Maris.
kama ni ajira degree zenye ajira ni ualimu (education) na usimamizi wa sheria(law enforcement) pale jeshi la polisi vinginevyo kwa kozi zingine ni bahati-kujuana-rushwa nk.
mwanzo mugumu ila kila kitu heri tu,..hyo kozi nzuri na watu kibao wametoka kupitia kozi hyo,..muhimu msuli tu ili ufaulu vizur iwe rahic kushindana ktk soko la ajira!!!
kweli kaka kuna ndugu yangu kasoma hyo pspa but yupo mtaani huu mwaka wa tatu kila akitafuta ajira wanamwambia mpaka awe na uzoefu wa miaka mitano na kuendelea ndo sasa hivi anatafuta nafas aende jeshini