Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,224
[“We see the likelihood of this as low, as this would likely see the end of foreign direct investment into Tanzania from the West for years,” he said.
The $190 billion in unpaid tax charges, interest and penalties claimed by the government, and/or the loss of $1.9 billion worth of assets would reduce RBC’s net asset value from $4.18 per share down to $0/share.
My Take;
Nyumbu wote mnaoshabikia BS za Lissu, mjitafakari.
Wenye akili wote tuliliona hilo toka siku ile sheria ya kipuuzi ya madini ilipopitishwa pale Bungeni. Lakini wajinga wanafurahia.
Ni sawa una vyumba 5 vya kupangisha, umekuwa unapangisha chumba kimoja kwa sh 50,000, faida yako halisi ikiwa sh 10,000 kwa kila moja. Ukivipangisha vyote utapata faida ya sh 50,000. Kwa kuwa una tamaa ya kupata zaidi, unaamua kupangisha kila chumba kwa sh 1,000,000 halafu unaanza kushangilia kuwa sasa utapata faida ya sh 4,800,000 wakati kiuhalisia ni kuwa sasa utapata faida ya sh 0 kwa sababu hutapata mpangaji. Mwenye akili angalao angetoka kwenye faida ya sh 50,000 na kutafuta faida ya sh 70,000.
Nchi nzima imegeuka na kuwa ya wendawazimu. Nchi inataka ipate total tax revenue ya 65% na mwekezaji apate 35% bila ya kuchangia chochote, eti kwa sababu madini yapo kwenye ardhi yetu. Tutasubiria sana, labda mpaka wakati wa ufufuko kumpata mwekezaji wa kukubali hilo. Wenzetu Uganda kwenye mafuta, royalty 5% (sisi 7%), Uganda free caaried shares 0% (sisi 16%), Uganda paid shares 15% (sisi hakuna hata mgodi mmoja tuliponunua), Uganda royalty ni part of production cost (sisi tumebakiza ili nayo ilipiwe corporate tax), Zimbabwe (nchi pekee Duniani inayotoza royalty ya 7%) corporate tax 28% (sisi 30%).
Ujinga wetu ni kuamini kuwa hapa Duniani kuna wanaopata pesa kwa njia rahisi, kwa hiyo sisi tukazane tu kuongea, halafu siku moja tutakuwa matajiri, kila mmoja atateremshiwa Noah kama walivyoshushiwa mana wana wa Israel kule jangwani.[/QUOTE]
mkuu sio vizuri kuamsha alielala,we tulia tujionee hii senema itapoishia