McFerson JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 2,170 Reaction score 2,335 Feb 24, 2016 #21 ninawaswas na kucha zake kwasasa(((hata meno pia
mpasta JF-Expert Member Joined Jan 17, 2011 Posts 920 Reaction score 2,009 Feb 24, 2016 #22 mambo ya uchaguzi africa yapigwe marufuku mpaka tukiwa tayari
N Nonda JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 13,358 Reaction score 4,308 Feb 24, 2016 #23 Aurthur said: Ujumbe upi aliandika.. wapi kwanza ha ha ha CCM oyee.. kidumu chama cha matatizo Click to expand...
Aurthur said: Ujumbe upi aliandika.. wapi kwanza ha ha ha CCM oyee.. kidumu chama cha matatizo Click to expand...
I IkuluKwetu JF-Expert Member Joined Feb 16, 2016 Posts 535 Reaction score 394 Feb 24, 2016 #24 Akiweka hiyo audio atakuwa naye ameshiriki kueneza matusi hayo. Sheria ya mtandao utamkodolea macho.
sifongo JF-Expert Member Joined Jun 5, 2011 Posts 4,895 Reaction score 5,308 Feb 24, 2016 #25 Erythrocyte said: ccm ni waoga sana ! kama kweli anatuhumiwa kutukana , dhamana kwa ajili ya matusi tu nayo inakataliwa ? Click to expand... Hii Nchi ishakuwa ya kujihami.........badala ya kufikiria maendeleo wao wanawaza jinsi gani wataendelea kubaki madarakani.
Erythrocyte said: ccm ni waoga sana ! kama kweli anatuhumiwa kutukana , dhamana kwa ajili ya matusi tu nayo inakataliwa ? Click to expand... Hii Nchi ishakuwa ya kujihami.........badala ya kufikiria maendeleo wao wanawaza jinsi gani wataendelea kubaki madarakani.
ferre.g JF-Expert Member Joined Mar 3, 2013 Posts 2,215 Reaction score 329 Feb 24, 2016 #26 Ccm no janga
UncleBen JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 9,693 Reaction score 12,326 Feb 24, 2016 #27 Nonda said: Click to expand... Huyu Mzee sijawahi kupata kumskia ,kwa maneno haya ni dhahiri wenye mamlaka walikua wanamlia timing tu ,Pole yake ila anaonekana Mzee mmoja smart sana
Nonda said: Click to expand... Huyu Mzee sijawahi kupata kumskia ,kwa maneno haya ni dhahiri wenye mamlaka walikua wanamlia timing tu ,Pole yake ila anaonekana Mzee mmoja smart sana
mafimboo JF-Expert Member Joined Oct 9, 2014 Posts 2,415 Reaction score 978 Feb 24, 2016 #28 CUF kila siku kulalamika maneno hayatawasadia kitu igeni NIGERIA,somalia
O omaxi Member Joined Feb 18, 2016 Posts 5 Reaction score 4 Feb 24, 2016 #29 mambo ya ajabu sana nchi hii ipo cku. ahakama yake iko Yanganyika, na ataanzia kisutu, Vuteni subira ICC ya wazanzibari[/QUOTE]
mambo ya ajabu sana nchi hii ipo cku. ahakama yake iko Yanganyika, na ataanzia kisutu, Vuteni subira ICC ya wazanzibari[/QUOTE]
Mwanahabari Huru JF-Expert Member Joined Mar 9, 2015 Posts 14,242 Reaction score 34,917 Feb 24, 2016 Thread starter #30 Percival said: demokrasia ilikufa 1964 Click to expand... Kabisa lakini jasho la mtu kama laliwa.....
Percival said: demokrasia ilikufa 1964 Click to expand... Kabisa lakini jasho la mtu kama laliwa.....
Bramo JF-Expert Member Joined Oct 21, 2009 Posts 13,252 Reaction score 10,248 Feb 24, 2016 #31 Elungata said: Tunamwandalia shitaka la ugaidi vuteni subira kidogo Click to expand... Who are you ??????????????? Vidampa walamba viatu na wafunga kamba za viatu wa Lumumba eti na nyinyi mnajidai na kujiona level Moja na Ma Bwana zenu
Elungata said: Tunamwandalia shitaka la ugaidi vuteni subira kidogo Click to expand... Who are you ??????????????? Vidampa walamba viatu na wafunga kamba za viatu wa Lumumba eti na nyinyi mnajidai na kujiona level Moja na Ma Bwana zenu