Polisi yahadharisha wapenda ngono

5,000/= bt stil kuna midume inaona binde bado wanataka kupunguziwa na ulim katumia! teh teh
Ooh kumbe naweza kumudu angalau mara 1 kwa miezi 2 cha muhimu ni kupitia upya bajeti yangu. Ila nipate risiti nijue naye analipa kodi tuchangie pato la taifa
 
hivi dau lao linaanzia ngapi?

inatagemea sehemu mkuu mi kwa mfano
1.maeneo kama uwanja wa fisi dau ni jelo show time
2.tandika kwa wahaya dau huwa ni elfu mbili show time
3.ukienda buguruni kimboka dau huwa ni elfu tato plus guest house
4.ukienda sinza ambiance dau huwa 20,000 show time
5.ukienda manzese lambo baa dau huwa 2000 plus guest house
6.ukienda kinondoni jumba la dhahabu dau huwa ni 50,000
7.ukienda sehemu kama jolly club upanga laki 5 show time hapa unakuta mpaka wasanii maruufu bongo
8.ukienda ohio upanga hapa ni dollar 100 hapa unawakuta cd wenye pesa zao

sasa ww una uwezo gani.......
 

Mkuu tunda ni tunda halina tofauti liwe la jumba la dhahabu au manzese......same effect... ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…