Trezedayam
Member
- Dec 20, 2012
- 18
- 1
Dah...!! Yaani Kagera kama sio TZ vile wao kuanzisha majanga kwa maafande sio kitu cha kujishauri mara 2, walishalianzisha Chato mpaka wakateka kituo, Mtukula walimchapa afisa wa Takukuru mpaka kakimbia, Karagwe walimzimisha aliyefumwa na meno ya tembo, huko Ngara ndio usiulize. Henhee hao wa leo wamepona?
Katoro si Kagera ni Geita mtoa mada.Polisi wa Rider walikuwa kwenye gurio la katoro wanasema wamekuja kumkamata jambazi walipofika wakaanza kularushwa kama kawaida wananchi wakakasirishwa na kitendo hicho huku wakitaka ela kwa mabavu wananchi wenye hasira wakawapiga na kupora silaha na kuchoma moto pikipiki.Lakini baadaye silaha ilipatikana kwa msaada wa Diwani wa katoro.
Sent from my BlackBerry 9900 using
JamiiForums
Jeshi lipi mkuu? kama ni jeshi la polisi hakuna tofauti na magamba!! JW nao usiseme kabisa, yaani kazi yao kubwa ni kula nguruwe kwenye mabanda na kufadhili wizi---- vipi jeshi lichukue nchi basi kuwe na nidham katika kila idara
Jeshi lipi mkuu? kama ni jeshi la polisi hakuna tofauti na magamba!! JW nao usiseme kabisa, yaani kazi yao kubwa ni kula nguruwe kwenye mabanda na kufadhili wizi
Polisi wa Rider walikuwa
kwenye gurio la katoro wanasema wamekuja kumkamata jambazi walipofika
wakaanza kularushwa kama kawaida wananchi wakakasirishwa na kitendo
hicho huku wakitaka ela kwa mabavu wananchi wenye hasira wakawapiga na
kupora silaha na kuchoma moto pikipiki.Lakini baadaye silaha ilipatikana
kwa msaada wa Diwani wa katoro.
Sent from my BlackBerry 9900 using
JamiiForums
Katoro si Kagera ni Geita mtoa mada.
---- vipi jeshi lichukue nchi basi kuwe na nidham katika kila idara
Kagera ipo katoro kule ilipo katoro islamic sec
Polisi wa Rider walikuwa kwenye gurio la katoro wanasema wamekuja kumkamata jambazi walipofika wakaanza kularushwa kama kawaida wananchi wakakasirishwa na kitendo hicho huku wakitaka ela kwa mabavu wananchi wenye hasira wakawapiga na kupora silaha na kuchoma moto pikipiki.Lakini baadaye silaha ilipatikana kwa msaada wa Diwani wa katoro.
Sent from my BlackBerry 9900 using
JamiiForums
Dah...!! Yaani Kagera kama sio TZ vile wao kuanzisha majanga kwa maafande sio kitu cha kujishauri mara 2, walishalianzisha Chato mpaka wakateka kituo, Mtukula walimchapa afisa wa Takukuru mpaka kakimbia, Karagwe walimzimisha aliyefumwa na meno ya tembo, huko Ngara ndio usiulize. Henhee hao wa leo wamepona?