nasikia wameshamchukua na kumpeleka kusikojulikana!
Unaonaje wewe ukatueleza ukweli kama unaufahamu?Akamatwe haraka sana kwa kuchafua jeshi la polisi .. kwa nini aongee uongo
Wauaji (Polisi) hawa hawaaminiki tena ni bora livunje tuu.
Akamatwe haraka sana kwa kuchafua jeshi la polisi .. kwa nini aongee uongo
Kama huyu jamaa kakamatwa atoe ushaidi.......ili isiendelee kuvuruga amani ya nchi kwa kuogea vitu amabavyo havina ushaidi wowote......