Kuna sababu kubwa sana na nzuri ya Polisi kuwa wakarimu kwa wananchi. Kama polisi ikiwa ya kibabe hasa kwa Watanzania wenye mazuri ambao wanataka kuonyesha support kwenye haki hawatapata ushirikaino ambao wanahitaji.
Kama tunataka polisi iwe kama jeshi ina maana basi hatutakuwa na polisi tena na polisi hataweza kufanya kazi na kulinda kila mahali bila polisi kuweka urafiki na uaminifu kwa watu. Sehemu nyingi duniani polisi ni sehemu ya jamii tofauti na jeshi la ulinzi na jamii hata siku moja haitaweza kuwa salama kama hakuna trust ya polisi na raia na cha ajabu naona kama rais Magufuli hajaona hilo