Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
Both parties are corrupt entities. Huenda walilizana katika mishemishe zao za ufisadi hao. Acha wafu wazikane wenyewe.
Sipingi hata kidogo kwamba hakimu anaweza kukosea lakini katu siungi mkono kitendo hicho cha hao mapolisi. Ikiwa ni kweli kimetokea, kitendo hicho kitashusha kabisa hadhi ya asasi muhimu hiyo. Ziko njia kadhaa za kumchukulia hatua lakini hiyo ya polisi kumtia pingu hadharani hata kama asingekuwa hakimu haswa ukizingatia kwamba kwa wadhifa wake asingeweza kutoroka au kuukimbia mkono wa sheria kutokana na kosa dogo analotuhumiwa nalo. Binafsi na wenye mapenzi mema kwa asasi hiyo tunalaani kwa dhati kitendo cha kihuni hicho cha polisi na tunasubiri kwa hamu kusikia tamko au hatua zitakazochukuliwa na idara ya mahakama kuirejesha imani na heshima ya taasisi hiyo inayopigiwa kelele kwamba imechakachuliwa na chama tawala CCM na kama ilivyo polisi inafanya kazi kwa maelekezo ya chama tawala!Katika hali ya kushangaza polisi wilayan Muleba wamemdhalilisha hakimu wa mahakama ya mwanzo kwa kumpiga pingu hadharani kwa sababu za uzushi zilizotokana chuki binafs baina ya hakimu na polisi ambao wanaishi eneo moja.njama ya ktmdhalilisha hakimu huyo ziliongozwa na wakuu wa polisi nyanja zote wilaya.na kilichokuwepo ni kwamba hakimu huyo ameandikiwa charge ya kumtishia polis siliha..ntaendlea kuwajuza kw kuw nipo mbali na tukio ila nna chanzo kutoka huko.
Hakimu wa mahakama ya Tz? Apigwe pingu hadi miguuni. Wananuka rushwa, wanamilikiwa na sirikale