lazima ukae
JF-Expert Member
- May 15, 2013
- 791
- 417
Habari zenu wakubwa kwa wadogo,kipindi cha nyuma kidogo kuna member humu jf alisema kwamba wizara ya mambo ya ndani siku chache zijazo watatangaza ajira za upolisi kwani wameshapewa kibari cha kufanya hivyo.
Siku zinasonga na wala hatujaona tangazo lolote la ajira kwa level ya graduate,je wameghairi kutangaza au inakuaje.Mwenye taarifa za uhakika tunaomba atujuze.
Asanteni.
kuwa na subira mkuu muda si mrefu nadhani watatangaza
lini tena jamani, si walichukua mwaka jana wakati watu wanamaliza chuo?
umemaliza chuo mwaka huu? ok yatatoka lakini nafasi zitakuwa chache kwa graduates hasahasa watachukua course zenye mrengo wa upolisi
Kozi zenye mlengo ni zipi sababu mimi nina bachelor ya information technology
pia msishangae wakichukua wale wanafunzi wao tu waliowatrain pale Udsm
Habari zenu wakubwa kwa wadogo,kipindi cha nyuma kidogo kuna member humu jf alisema kwamba wizara ya mambo ya ndani siku chache zijazo watatangaza ajira za upolisi kwani wameshapewa kibari cha kufanya hivyo.
Siku zinasonga na wala hatujaona tangazo lolote la ajira kwa level ya graduate,je wameghairi kutangaza au inakuaje.Mwenye taarifa za uhakika tunaomba atujuze.
Asanteni.
wapi hao,wale wanaosoma law enforcements au?
Watu waliosoma law enforcement wakiomba hawakosi, ata polisi wengi wanaojiendeleza vyuoni wanapenda kuchukua law enforcement.