Head teacher
JF-Expert Member
- Mar 10, 2012
- 1,796
- 411
TEH, TEH, TEH, Nilipata taarifa za kiintelejensia, kuwa kuna mikamera imetegwa......!ha ha ha !! mbona umetoa mpya? Yaani serikali ijiwekee yenyewe camera ili ionekane namna police wanavoteka watu na kuwatesa? mm nilkuwa na mpango wa kuichimbia camera huko kisiri ili kuwachunguza polisi watekaji ila umeshawatonya itabidi nikaitoe!!
Point, waelekeze na mapori mengine ya bagamoyo, mlandizi, n.kNajaribu kuongea na Google,
ikiwezekana kwa mwezi mmoja,
waelekeze kamera zao zote kwenye,
coordinates za Mabwepande,
na kuweka high resolution.
Kutokana na migomo ya walimu, na baadae wafanyakazi wote wa serikali na binafsi kupinga sheria kandamizi ya mifuko ya jamii, ni wazi kwamba msitu wa mabwepande utakuwa na ugeni kila iitwapo leo. Natoa wito kwa serikali kufunga cctv camera kubaini watekaji wa viongozi wa maandamano na migomo.
TEH, TEH, TEH, Nilipata taarifa za kiintelejensia, kuwa kuna mikamera imetegwa......!
TEH, TEH, TEH, Nilipata taarifa za kiintelejensia, kuwa kuna mikamera imetegwa......!
Intelejensia ya Wapi? China,pwani,chaduru.au
Hii kali, yaani wajitegeshee kamera wao wenyewe?!Kutokana na migomo ya walimu, na baadae wafanyakazi wote wa serikali na binafsi kupinga sheria kandamizi ya mifuko ya jamii, ni wazi kwamba msitu wa mabwepande utakuwa na ugeni kila iitwapo leo. Natoa wito kwa serikali kufunga cctv camera kubaini watekaji wa viongozi wa maandamano na migomo.