Polisi Tanzania jitafakarini sana

Umeandika kwa hasira mkuu
 
Jana ungejitokeza kisutu ukawaeleze ana kwa ana siyo mtandaoni, wao ni maskini hawana hela ya bundle kwahiyo hawaoni ujumbe wako
 
Maaskofu wamekua waimba taarabu, waiache mahakama iwe huru, mbona wao huwa wanawahukumu watu na wanakataa kuwazika kisa walikua hawahudhurii kanisani na mahakama haijawaingilia
 
Polisi wetu wamegundua kuwa njia pekee ya kupandishwa vyeo kwa haraka ni kuwa wakatili sana dhidi ya Wananchi;na haswa CHADEMA.

Wamekuwa kama Polisi wa serikali ya Makaburu kipindi cha utawala wa kibaguzi huko South Africa dhidi ya Chama cha Ukombozi cha ANC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…