Tatizo la Tanzania ushamba mwingi na hatuangalii wenzetu wanafanyeje pia tujaribu kuiga yale mazuri... Swala la kuwapa nguvu nyingi polisi ni ujinga, wana-abuse power hawa jamaa si mchezo... Angalia nchi kama US, kuna units nyingi, wapo Polisi wa kawaida, FBI, kuna Internal Affairs, units zote zinazidiana nguvu, na moja akitumia power yake vibaya unit nyingine inaweza kumchukulia hatua na akafutwa kazi au kufungwa.. Polisi kama hawa wanaopiga watu ovyo, ingekuwepo unit nyingine ya polisi ambayo inakua kama polisi wa polisi, yani wanakamata polisi na kuwashughulikia kisheria... Huu ujinga wote tungekua hatuna, kuwepo ngazi moja ambayo ina nguvu yote afu hamna nyingine inayowaangalia wakikosea ni system ya kijinga sana, hawa jamaa wasomi sijui hizo phd walizichukulia wapi kila kitu wanafanya ovyo...