Wangaeli
Member
- Apr 26, 2011
- 62
- 23
Pikipiki kwenu ndo imekua habari ya mjini anakukamata anakukagua akikuta uko sawa anakubambikia kosa mara una kosa hujavaa reflector mara matumiz mabaya ya barabara kuyasema matumiz gani hayo hamuyasemi acheni uonevu mtu umenikamata kwenye mataa hata mstar wa waendao kwa miguu sijaukanyaga msitulazimishe tuwe wahalifu kingine mnatoa notification mkiulizwa risit eti hamna ukitaka ya mashine kamtafute askar barabaran.
Askari mataa ya uasibu acheni kulazimisha makosa kwa bodaboda kama mtu kakamilika helment, bima, kadi, na kasimama kwenye mataa kusubiri taa ziruhusu msimuone mjinga na kumbambikia makesi ndo maana bodaboda wengi hawatulii kwenye mataa kwa ajili kuwakimbia nyie na wengi ukiwauliza wanasema wakamilike wasikamilike mnawakata mtatufanya tuwe magaidi sasa.
BADILIKENI we are so tired.