Polisi ni wahuni!

Polisi ni wahuni!

Afghan

Member
Joined
Mar 8, 2012
Posts
38
Reaction score
13
Kitendo chaa polisi kusimamia kikamilifu zoezi la kujeruhi wawakilishi wa wananchi (wabunge wa Mwanza) ni nini kama si kudhihirisha uhuni wao? Hii ni sawa na kusema serikali ni wahuni maana wanayajua haya yote
 
mh! mjukuu wangu! usizime moto kabla hujamaliza mapishi, mimi na bibi yako tumekuangalia na kugudua pishi lako halijaiva, vigezo na masharti kijana, tupe notice za kutosha, walisimamia vipi?, ili tuchangie la kwetu kulingana na mchango wao huo! teh teh teh!!! hawa wajukuu bwana! ila mmechangamka vya kutosha wanangu! nawapenda wote. teh teh teh!
 
Ndo wachawi wa CCM hao. Wanaiangusha CCM kwa kuua raia na wanajenga chuki ya wananchi dhidi ya CCM
 
mh! mjukuu wangu! usizime moto kabla hujamaliza mapishi, mimi na bibi yako tumekuangalia na kugudua pishi lako halijaiva, vigezo na masharti kijana, tupe notice za kutosha, walisimamia vipi?, ili tuchangie la kwetu kulingana na mchango wao huo! teh teh teh!!! hawa wajukuu bwana! ila mmechangamka vya kutosha wanangu! nawapenda wote. teh teh teh!

Wewe ungehitaji ushahidi wa mtu wa pili badala ya mhusika kamili? Mbunge Kiwia amethibitisha hilo waziwazi kwenye vyombo vya habari akihojiwa live, na hata mbele ya mkuu wa kituo walichopelekwa pale mwanza baada ya tukio. Alisema "Polisi walifika na kusimama pembeni na silaha za moto wakishuhudia tunavyoshambuliwa kwa marungu na mapanga, na hawakufanya lolote". Sema sasa
 
CCM wanadhani watasalimika kwa kuwalinda wahalifu kumbe wanazidi kujiweka mbali na wananchi wa Tanzania
 
Back
Top Bottom