Polisi ni Shida Tanzania

Polisi ni Shida Tanzania

Danisamweswa

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
453
Reaction score
154
Ni jambo linalosikitisha kuona kuwa Jeshi letu la Polisi badala ya kuwa chombo cha kulinda raia na mali zao kinageuka kuwa chombo cha kuumiza raia na kuharibu mali zao. Jambo hili nimeliona wala siyo mara moja. Tukio la jana makao makuu ya polisi jijini Dar lilikua tukio la hovyo na la aibu kwa nchi yetu. Watu wamemsindikiza mwenyekiti wao wa Chama Chao wamekaa chini kwa amani kabisa polisi wanawafukuza na mbwa kama vile wamekuwa swala. Hili jeshi linalinda amani kwa mtindo huo au linavuruga amani?

Ni kigezo gani kilichotumia wa polisi kuwafukuza wanachama wa CHADEMA na hata kuwapiga waandishi wa habari? Ninapata shida kuwa jeshi hili linashindwaje kufanya kazi zake kwa weledi? wangekuwa ni wanachama wa CCM wamemsindikiza mwenyekiti wao jeshi la polisi lingefanya walichokifanya jana?

Kwa nini jeshi la polisi lisijitenge na siasa? Polisi wanalinda nani? Wananchi wanapokasirishwa na kinachoendelea dodoma wanataka kufanya maandamano polisi wanasema maandamano hayo ni haramu? Nani asiyoeona uharibifu wa fedha unaoendelea dodoma kwa kisingizio cha bunge la katiba? Siyo halali wananchi kuonyesha kutokuridhika kwao kwa maandamano?
Nguvu inayotumika kuzima maandamano ya amani kwa nini zisitumike kuzima uahalifu katika nchi hii na kupambana na majangili wanaomaliza tembo zetu? Iko haja kwa jeshi la polisi kujitoa kwenye ushabiki wa vyama vya siasa. Lisipofanya hivyo litahatarisha usalama na amani ya nchi yetu. Badala ya kuwa walinzi wa amani litageuka kuwa wavurugaji wa amani. Picha ya namna hii haifai kwa jeshi letu la polisi.
 
Jeshi la Police linalopokea amri kutoka hata kwa Katibu wa CCM wa Wilaya / Mkoa ni hatari sana kwa usalama wa nchi.
 
Polisi ni genge jingine la wahuni ndani ya ccm. Siku yaja ambayo risasi, mbwa, virungu pamoja na mabomu havitaogopwa na adhima itatimia ya kuwaondoa ccm na wahuni wenzao kwa jina la polisi
 
Jeshi la Police linalopokea amri kutoka hata kwa Katibu wa CCM wa Wilaya / Mkoa ni hatari sana kwa usalama wa nchi.

wanapokea amri hadi kwa katibu wa uvccm kata, mapolisi akili zao kama za mbwa tu
 
mkuu bado wameziba masikio watashituka kumekucha na wengine wakihitajika the hegue
 
Huyo mwandishi hakuwa na jacket la kumtambulisha, haya, kaitwa mbowe, nyie wengine mnakwenda kujazana bila sababu, mnaambiwa tawanyikeni hamtaki, hv nyie au ndugu zenu wakiitajika polic mbowe huwa anawasindikiza??
 
Ni jambo linalosikitisha kuona kuwa Jeshi letu la Polisi badala ya kuwa chombo cha kulinda raia na mali zao kinageuka kuwa chombo cha kuumiza raia na kuharibu mali zao. Jambo hili nimeliona wala siyo mara moja. Tukio la jana makao makuu ya polisi jijini Dar lilikua tukio la hovyo na la aibu kwa nchi yetu. Watu wamemsindikiza mwenyekiti wao wa Chama Chao wamekaa chini kwa amani kabisa polisi wanawafukuza na mbwa kama vile wamekuwa swala. Hili jeshi linalinda amani kwa mtindo huo au linavuruga amani?

Ni kigezo gani kilichotumia wa polisi kuwafukuza wanachama wa CHADEMA na hata kuwapiga waandishi wa habari? Ninapata shida kuwa jeshi hili linashindwaje kufanya kazi zake kwa weledi? wangekuwa ni wanachama wa CCM wamemsindikiza mwenyekiti wao jeshi la polisi lingefanya walichokifanya jana?

Kwa nini jeshi la polisi lisijitenge na siasa? Polisi wanalinda nani? Wananchi wanapokasirishwa na kinachoendelea dodoma wanataka kufanya maandamano polisi wanasema maandamano hayo ni haramu? Nani asiyoeona uharibifu wa fedha unaoendelea dodoma kwa kisingizio cha bunge la katiba? Siyo halali wananchi kuonyesha kutokuridhika kwao kwa maandamano?
Nguvu inayotumika kuzima maandamano ya amani kwa nini zisitumike kuzima uahalifu katika nchi hii na kupambana na majangili wanaomaliza tembo zetu? Iko haja kwa jeshi la polisi kujitoa kwenye ushabiki wa vyama vya siasa. Lisipofanya hivyo litahatarisha usalama na amani ya nchi yetu. Badala ya kuwa walinzi wa amani litageuka kuwa wavurugaji wa amani. Picha ya namna hii haifai kwa jeshi letu la polisi.
maneno yako uliyoyasema ni sawa kabisa mwanangu lakini polisi wa nchi hii hawako kwa ajili ya kulinda wananchi kama ufikiriavyo wewe,polisi wa nchi hii wako kwa ajili ya kulinda maslahi ya ccm tu, kinana anaadamana na watu chungu mzima katika ziara zake na anapokewa na watu kibao lakini huta sikia hata siku moja wanakatazwa na polisi,sisi kina gogo la shamba tulikwisha sema siku nyingi kwamba watakaoleta vurungu katika nchi hii ni polisi na wala sio wananchi na yote hayo yanatokana na utawala wa ccm na serikali yake,jicho lingine wanaloangalia ccm wanategemea polisi wakishindwa watatumia jeshi la wananchi
 
Namshukuru sana Mwenyezi Mungu si ndugu ambaye yuko kwa fani hii! Kusema kweli sina uwezo sana lakini ningeshawishi hata ukoo mzima tumchangie aende akasome walau fani nyingine. hata kama angebaki na upolisi wake basi angekuwa ameerevuka kidogo.

Nasema hivi niko chuo kimoja hapa mjini tunasoma darasa moja na mjeda yaani mpaka aseme mie ni mjeda bila hivyo huwezi gundua kabisa jinsi alivyo!
 
Kama polisi wataendelea na vitendo hivi,mungu awalaani waendelee kuwa maskini
 
Ni jambo linalosikitisha kuona kuwa Jeshi letu la Polisi badala ya kuwa chombo cha kulinda raia na mali zao kinageuka kuwa chombo cha kuumiza raia na kuharibu mali zao. Jambo hili nimeliona wala siyo mara moja. Tukio la jana makao makuu ya polisi jijini Dar lilikua tukio la hovyo na la aibu kwa nchi yetu. Watu wamemsindikiza mwenyekiti wao wa Chama Chao wamekaa chini kwa amani kabisa polisi wanawafukuza na mbwa kama vile wamekuwa swala. Hili jeshi linalinda amani kwa mtindo huo au linavuruga amani?

Ni kigezo gani kilichotumia wa polisi kuwafukuza wanachama wa CHADEMA na hata kuwapiga waandishi wa habari? Ninapata shida kuwa jeshi hili linashindwaje kufanya kazi zake kwa weledi? wangekuwa ni wanachama wa CCM wamemsindikiza mwenyekiti wao jeshi la polisi lingefanya walichokifanya jana?

Kwa nini jeshi la polisi lisijitenge na siasa? Polisi wanalinda nani? Wananchi wanapokasirishwa na kinachoendelea dodoma wanataka kufanya maandamano polisi wanasema maandamano hayo ni haramu? Nani asiyoeona uharibifu wa fedha unaoendelea dodoma kwa kisingizio cha bunge la katiba? Siyo halali wananchi kuonyesha kutokuridhika kwao kwa maandamano?
Nguvu inayotumika kuzima maandamano ya amani kwa nini zisitumike kuzima uahalifu katika nchi hii na kupambana na majangili wanaomaliza tembo zetu? Iko haja kwa jeshi la polisi kujitoa kwenye ushabiki wa vyama vya siasa. Lisipofanya hivyo litahatarisha usalama na amani ya nchi yetu. Badala ya kuwa walinzi wa amani litageuka kuwa wavurugaji wa amani. Picha ya namna hii haifai kwa jeshi letu la polisi.

Double standard ...Polisi hao hao wanakuwa wazuri wanapo baka ,kuuwa na kutesa waislamu . Leo wamekuwa wabaya ? Tuendelee kuvuna tulicho panda...
 
Inashangaza sana watz kuogopa virungu,pingu na hata vifo vya mapolisi wa ccm wakati kila mara wananchi wanakufa kwa njaa,milipuko,ajari,vipigo vya uonevu nk
 
Polis wa nchi hii hawalindi raia ila wanalinda watawala na hawajui kuwa raia ndiye amewaajiri ili akae kwa amani wao wanajua watawala tu. Inabidi mfumo wa elimu kwa polis ubadilishwe, wafundishwe uzalendo zaidi (kutumia akili) kuliko mafunzo ya kijeshi yanayotumia nguvu, kwani hudhani majukumu yao yatakuwa ya kutumia nguvu kuliko akili.
 
Huyo mwandishi hakuwa na jacket la kumtambulisha, haya, kaitwa mbowe, nyie wengine mnakwenda kujazana bila sababu, mnaambiwa tawanyikeni hamtaki, hv nyie au ndugu zenu wakiitajika polic mbowe huwa anawasindikiza??
Maneno kama haya ya kipuuzi kaongee na mke wako, halafu nchi haijengwi na watu wa aina yako, wangapi wamekufa enzi za ukoloni na kutafuta uhuru kuifanya tanzania hapa ilipo na hawakutawala leo umekalia mkia unajiona mpenda amani kumbe una maslahi yako binafsi.
 
Shiiidaaa! (kwa sauti ya Kpt Komba:A S wink🙂
 
Huyo mwandishi hakuwa na jacket la kumtambulisha, haya, kaitwa mbowe, nyie wengine mnakwenda kujazana bila sababu, mnaambiwa tawanyikeni hamtaki, hv nyie au ndugu zenu wakiitajika polic mbowe huwa anawasindikiza??

Hizi ni akili za mama yako,huwezi andika upuuzi kama huu wakati unaona mambo wanayofanya hawa wajinga ni makubwa.
 
Back
Top Bottom