Polisi ni majaji au mahakimu?

Polisi ni majaji au mahakimu?

MBUTEGWANE

Member
Joined
Jan 13, 2015
Posts
33
Reaction score
8
Napenda swali kuhusu swala la mh.lipumba kupigwa na polisi,je polisi kuwapa adhabu ya kuwapiga na kuwajeruhi raia,je sheria ya jeshi la polisi duniani linaruhusu?je polisi wanamamlaka kisheria kuwazuia wananchi kufanya mkutano au kuandamana?je polisi kuishi uraiani kwa mujibu wa sheria ya nchi hii inaruhusiwa?ikitokea polisi katumia nguvu kubwa kutawanya waandamanaji ama kuua mtu,je sheria inasemaje kuhusu hili?mwisho ni kwamba,polisi kwanini hawabadiriki na kuwa marafiki wa raia?je nitatoaje taarifa ya uharifu kwa jeshi la polisi kama wao wanakuwa chanzo cha uarifu wa mali na maisha ya watu.sasa tunaishi kwa hofu kubwa kwa sisi raia wema, tunawaogopa hata hawa polisi tunaoishi nao uraiani.si rafiki kwetu tunawatenga sio sili.
 
Polisi si hakimu wala jaji.Polisiccm ni nimoja ya jumuiya za CCM.

Kuna Umoja wa Vijana, Jumuiya ya Wazazi, Bakwata, Umoja wa Wanawake, Tume ya uchaguzi, na Polisi.
 
Back
Top Bottom