Polisi; Nasisi Tumechoka Sasa

Niemamini polisi hawataki katiba ya ccm,maana hakuna waliojeruhiwa kwa risasi kwenye maandamano.
 
Kwa Tanzania polisi tu ndio waliobakia wamevaa magamba na huku hali yao ya maisha ni duni sana na vile vibanda vya mabati wanavyoishi familia zao basi ni tabu tupu......ila naona muda sio mrefu nao wataamka kama wale wa Misri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…