GHOST RYDER
JF-Expert Member
- Jun 10, 2011
- 1,025
- 475
tutasafiri tena kwenda kupigia kura chadema. Ondoa makundi hayo
Tatizo chama kizmezidi sana kuwachekea sana mapandikizi yakiongozwa na Zitto, pia hawa madogo wote wanapata kiburi kutoka kwa Zitto.... Na kama chama kitawachekea na kuondoa vidagaa vidogo vidogo( chagulani na henry) pia na kuwaacha mapapa kama( Zitto) basi mwisho wa siku chama kitaisoma namba tu.....................
Pia chama kiwafatilie zaidi na kuwaondoa mara moja vijana njaa ndani ya CDM.
Period...
Kamati kuu ina bosi wake, hakuna matata.
wakati mwingine tuwe watu wakutafakari sio maamuzi ya cc yanafaa sioni sababu ya kufukuzwa uwanachama mtu anapokosea. Hii ni sababu ya vyeo vya juu kugombaniwa, maslahi ya mtu binafsi Hapo mbele sana kuliko taifa ubabe nao uwahadaa walio cc, wanatoa maamuzi ya ubabe sababu ya nafasi walizopo, kama kweli mnatimua vijipandikizi vya ccm anza na shibuda mbowe, yeye amewapinga hadharani tena maamuzi ya chama mf bungeni Hapo ndo ntaamini hamna uchu wa madaraka ila mnajenga nchi, binafsi ni follower wa highness na wenje na nipo ilemela ila haya maamuzi sijaridhika nayo. tafakarini
Hakuna litakalo haribika!!
fukuza mapandikizi yote ndani ya chadema
Wapiga kura wa Igoma wana maoni gani kuhusu jambo ili.