Wewe ndo mgeni pekee Tz?? Wapinzani wana kiu tu ya kuleta fujo ili wawaamshe wananchi kugombana na hili jeshi lakini Polisi wako makini sana hili halitotokea. Viongozi wa ccm wapo makini sanaMbona upendeleo umetamalaki katika kutoa haki, mara ngapi CCM wanafanya mikutano yao tena yenye kejeli kwa wananchi, lakini jeshi lipo kimya.
Viongozi hawa wa CCM wana tofauti gani na viongozi wa upinzani ikiwa kila mkutano wa viongozi wa upinzani lazima usababishiwe ***** ***** na jeshi hili!!!
Kwanini IGP ana linyamazia jeshi analo liongoza kufanya mambo ya hovyo yanayo weza kusababisha machafuko!!!
Aibu kubwa sana kwa jeshi la polisi. Linaonekana ni kufanya maonevu tu.Ila nimekuja kugundua sio wote.kuna kama 70% hawana maadili na hawa ndio wanalichafua jeshi la polisi.Mkuu umeongea kwa hisia sana..Nina binamu yangu ni askari..basi kila tukionana nyumbani ua nawaita watoto Wangu wawili..nawambia hyu baba yenu ni askar..mtoto mdogo ua anauliza hivi babamdg nawewe unapgaga watu kama mbwa?
Swali la pili anauliza hvi askari Hua nao wanasomaga shule baba mdogo?
Mtoto mkubwa anajibu mimi bamdgo sitaki niwe askar Niue watu Mungu hapendi! Ntapambana mpaka niwe daktar niokoe watu!!
Hyu mkubwa Ana 8yrs anakamata wadudu na kuwafanyia upasuaji..akiona ambulance anaskitika sana anaona kama watu wanaenda kufa na wakuwakoa ni yeye.!!
Kwanini jeshi hili lisifiche utendaji huu unaolifedhehesha?kwanini uwanja sawa hautumiki kubalance?mbona hatujapata ona upande ule mtu akiwekwa ndani baada ya mkutano?
Hivi mpaka watoto wetu wadogo wameanza kuhoji hamuoni mwisho mbaya wa Taifa letu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama 70% wanalichafua jeshi la police,maanake hatuna jeshi tuna wahuni, ntaharamweAibu kubwa sana kwa jeshi la polisi. Linaonekana ni kufanya maonevu tu.Ila nimekuja kugundua sio wote.kuna kama 70% hawana maadili na hawa ndio wanalichafua jeshi la polisi.
Wanakochafua au linajichafuaAibu kubwa sana kwa jeshi la polisi. Linaonekana ni kufanya maonevu tu.Ila nimekuja kugundua sio wote.kuna kama 70% hawana maadili na hawa ndio wanalichafua jeshi la polisi.
Wanazidiwa hata na polisi wa Malawi katu huwezi waona wakimtumikia mwanasiasa
Sirro ni rubber stamp, haongozi ana ongozwaKamanda Sirro nakuomba kajifunze weledi kwa wenzetu.Matendo haya ya dhuluma ,uonevu yanaharibu umoja na ustawi wa taifa letu.
Sent using Jamii Forums mobile app