polisi kijenge arusha wamemuuwa kijana mchonga funguo hapa kijenge chini kwa kumpiga kwa mateke kisha wakamuamishia ngulelo baada ya kumuibia pesa zake kisha wakamuachia na mwisho akiwa nyumbani akafariki akiwa anatapika damu ....igp mpya anzia apa...
Walikuwa Wanafanya Operesheni gani kwa huyo mchonga funguo?

Operation tokomeza funguo za kuchonga, kwani bidhaa ya mchina inakosa soko.