Jamani hii Taasisi ya Police Tanzania siilewi kabisa. Naiita Taasisi maake mi siamini kama ni Jeshi kama wanavyojiita. Jana nilikuwa ndo naingia katika Gate la leaders club kumshuhudia mzee wa burrudani Kofii nilikutana na FFU kama 20 hivi wanamshambulia mtu na marungu bila hata huruma ya kibinadamu kama wanaua Nyoka. kww imani nyoka ni shetani sasa cjui yule bwana naye alikuwa shetani pale kwenye tulip.POLISI HAMNA MBINU MBADALA KWA KUKABILIANA NA WAKOSEFU KULIKO KUPIGA MTU MITHILI YA SHETANI. HAYO NDO MNAFUNDISHWA CPP MOSHI? SAIDI MWEMA kweli polisi imekushinda kunyoosha nidhamu ya utu kwa watanzania. kumbukeni mishahara yenu, mavazi yote ni kodi zetu wote.
Hapa ndo patamu sasa kwa akili yako ulitaka polisi wambembeleze au.?! Acha Majungu bana kuhusu kodi hata sisi pia hzo kodi tunatoa pouuwa.....dah tena natoaga kinoma ndugu kila ki2 polisi polisi vipi hauna kazi ya kufanya ndugu leta thread zinazoeleweka sio za kipuuz kama hz...Aaah MNABOA BANA.
Nadhani hii ndiyo ID ya inspekta Said Mwema.Hapa ndo patamu sasa kwa akili yako ulitaka polisi wambembeleze au.?! Acha Majungu bana kuhusu kodi hata sisi pia hzo kodi tunatoa pouuwa.....dah tena natoaga kinoma ndugu kila ki2 polisi polisi vipi hauna kazi ya kufanya ndugu leta thread zinazoeleweka sio za kipuuz kama hz...Aaah MNABOA BANA.
Hapa ndo patamu sasa kwa akili yako ulitaka polisi wambembeleze au.?! Acha Majungu bana kuhusu kodi hata sisi pia hzo kodi tunatoa pouuwa.....dah tena natoaga kinoma ndugu kila ki2 polisi polisi vipi hauna kazi ya kufanya ndugu leta thread zinazoeleweka sio za kipuuz kama hz...Aaah MNABOA BANA.
Hapa ndo patamu sasa kwa akili yako ulitaka polisi wambembeleze au.?! Acha Majungu bana kuhusu kodi hata sisi pia hzo kodi tunatoa pouuwa.....dah tena natoaga kinoma ndugu kila ki2 polisi polisi vipi hauna kazi ya kufanya ndugu leta thread zinazoeleweka sio za kipuuz kama hz...Aaah MNABOA BANA.
Yaani ww MAKU.kabisa
Hapa ndo patamu sasa kwa
akili yako ulitaka polisi wambembeleze au.?! Acha Majungu bana kuhusu
kodi hata sisi pia hzo kodi tunatoa pouuwa.....dah tena natoaga kinoma
ndugu kila ki2 polisi polisi vipi hauna kazi ya kufanya ndugu leta
thread zinazoeleweka sio za kipuuz kama hz...Aaah MNABOA BANA.
Kwenye mikutano ya CDM wanasema police hawatoshi lakini kwenda kumlinda Kofii police wapo wengi tu..Dole la kati kwa Policmm wote..!!