Polisi Dodoma, vikao vya bunge siyo mikusanyiko ya watu?

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,846
5,057
Bunge ni sehemu inayojumuisha mkusanyiko wa watu mbalimbali, na kumbuka kuwa watu hawa hawajapewa kinga dhidi ya ungonjwa huu suala linaloweza kupelekea kuenea kwa ugonjwa huo miongoni mwa wabunge au watu wengine wanaokusanyika eneo la bunge, ukizingatia kuwa ugonjwa huwa hauchagui kuwa hapa ni bungeni au la.

Kwanini polisi musisimamishe mkutano wa bunge ili kuepusha madhara ya ugonjwa huu?
 
Bunge ni sehemu inayojumuisha mkusanyiko Wa watu mbalimbali, na kumbuka kuwa watu hawa hawajapewa kinga dhidi ya ungonjwa huu suala linaloweza kupelekea kuenea kwa ugonjwa huo miongoni mwa wabunge au watu wengine wanaokusanyika eneo la bunge, ukizingatia kuwa ugonjwa huwa hauchagui kuwa hapa ni bungeni au la.
kwa nini polisi musisimamishe mkutano Wa bunge ili kuepusha madhara ya ugonjwa huu?
Aisee unavyoyabana hayo manjagu ya kutumiwa kama magogo ya msalani ninafurahi haswa hata wale wilderbeasts wa Lumumba hawatachangia hapa!!
 
Back
Top Bottom