Je raia akiua polisi huyo RPC atasema ni bahati mbaya kweli?
Ni aibu sana nilimsikia RPC kigona anajusty kitendo cha mauaji hayo.
Shida kubwa ni kuwa hatuna utamaduni wa kuwajibika kikazi kikiokea kitendo kibaya kimefanywa na junior officer wakubwa watafanya kila linalowezekana kuonyesha ni kosa la raia.
Kitendo cha domestic case askari wanakwenda kupiga mtu risasi kwa lengo la kuua ni ukiukwaji wa haki za binadamu kwa hali ya juu sana. Aingii akilini raia anauawa na polisi badala ya kudhibitiwa.
Tusiporekebisha tatizo la leadership ktk nyanja za kipolisi swala la raia kuawa litaendelea siku zote kwa sababu hakuna kuwajibika kwa wahusika.