Polisi aiba, aumbuliwa

Duuh inasikitisha sana
 
Askari kamateni nawale waliotolewa mwanzo waliotoa 350,000.Kwanini wao waliambiwa pesa ndogo wenzao wakaambiwa kubwa?wao pia ni wahusika wakuchunguzwa
 
Ila askari wa bongo uchwara sana..

Nimekumbuka kuna siku tupo zetu maskani tunachanja gomba ado ado mara mapai hawa hapa.. Kukacha tukashindwa wakatudaka tulikua kama mtu nne hivi. Kwanza wakatunyang'anya gomba na machanjio wakaanza wao kuchanja.

Wakatuingiza kwenye ndiga haoo ikapigwa moto tukajua wanatupeleka kituoni, wakatudungusha kuanzia saa 3 usiku mpaka sa 5 hapo handasi isharuka mbayaaa.. Wakatusachi kila kitu wakatuachia simu tu alafu wakatu dump Ngaramtoni wakati wametuchukua kwa Morombo.

Hawa jamaa ni matapeli wanashirikiana na askari kuonea raia.
 
Polisi wa nchi yetu hawaheshimu Viapo vyao kabisa
 
Nadhani kuna haja makampuni ya mabasi waanze kufanya online booking. Huu utaratibu wa kupokea hela cash mpaka 1.5m unatembea nazo mfukoni si salama tena.
 
Hao kuwapata wote ni rahisi sana,, pale central police kuanzia pale CRO yaani kaunta kumefungwa kamera za CCTV,,yaani kila ambae anaenda pale huwa camera zinarikodi,, xaxa ni hivi wakaangalie siku ya iyo na muda uho,, siwatamuona yule mmoja wa hao askari majambazi akiwa na huyo jamaa ambae alipelekwa pale sentro kaunta akakataliwa
 
Kwakweli raia tunapata tabu sana hasa kwa badhi ya polisi wasio kua weledi na waminifu na kazi zao.
 
Hawa jamaa ukiwashtukia ni kuwawahi mapema na kuwafanyia kama zacharia alivyowapiga risasi.
 
Hahahah inaonekana uko stimu kinoma time hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…