Police Tabata shule punguzeni njaa

Police Tabata shule punguzeni njaa

Sangarara

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
13,104
Reaction score
5,665
Haka kakituo ni kapya hakajamaliza hata mwezi,wamemwagwa hapo askari kutoka makao makuu ya polisi ni very corruptive,sidhani toka kituo hicho kimeanza kazi kama kuna kesi hata moja imefikishwa mahakamani,wanacompromise na waharifu kuliko kawaida sababu ya rushwa.

Nimetoka hapo asubuhi hii kufuatilia malalamiko yangu nimekuta mpelelezi wa kesi anakunywa chai na mhalifu ambaye ndio kasettle bill mbele ya macho yangu,hii ni hatari ila kwa upande wangu kitaeleweka tu na simpi mtu mia.
 
Hicho kituo kipo siku nyingi sana ila kwasasa ndio wamejengewa jengo jipya. Kunywa chai na mtuhumiwa sio tatizo ila hakikisha tu kesi inafika mahakamani.
 
Ha ha ha ha haaaaa, nilijua ni mimi peke yangu, kumbe wengi ni waathirika wa hicho kituo....!
Aisee, jamaa wana njaa mbaya, kwani tangu hakijafunguliwa wakitumia ofisi za jirani, ilikuwa taabu tupu, na sasa wamepewa mjengo si ndio majanga...........

Hicho kituo kimeleta shida aisee, badala ya kuwa suluhu ya kuondoa uhalifu kimekuwa ni sehemu ya tatizo.
 
Haka kakituo ni kapya hakajamaliza hata mwezi,wamemwagwa hapo askari kutoka makao makuu ya polisi ni very corruptive,sidhani toka kituo hicho kimeanza kazi kama kuna kesi hata moja imefikishwa mahakamani,wanacompromise na waharifu kuliko kawaida sababu ya rushwa.

Nimetoka hapo asubuhi hii kufuatilia malalamiko yangu nimekuta mpelelezi wa kesi anakunywa chai na mhalifu ambaye ndio kasettle bill mbele ya macho yangu,hii ni hatari ila kwa upande wangu kitaeleweka tu na simpi mtu mia.

...teh teh mkuu hiyo ndo maana halisi ya polisi jamii na ulinzi shirikishi...
 
Kuna afande mmoja mwanamke ndo kiranja wao kwa njaa na nyodo za kishamba.
 
Hicho kituo kipo siku nyingi sana ila kwasasa ndio wamejengewa jengo jipya. Kunywa chai na mtuhumiwa sio tatizo ila hakikisha tu kesi inafika mahakamani.

Tatizo lipo kwanini anywe na mtuhumiwa halafu bill mtuhumiwa analipa so there iz something behind bana.
Jamaa akomae nae tu mpaka kieleweke.
 
Hapo kuna tatizo sana mm niliibiwa vitu vya gar home nilipofika hapo majjb niliyopewa nilijuta kwa nn nimeenda ila nitakapo kamata mwiz nitamtaka radhi mwenyez mungu tuu anisamehe kwa kuua
 
pelekeni vijana wa PCB,pale Karume ile police post sasa hivi ni ofisi ya serikali ya mitaa,Wakuu wa Polisi baada ya malalamiko wakakamata polisi wala rushwa na kuwashughulikia
 
Haka kakituo ni kapya
hakajamaliza hata mwezi,wamemwagwa hapo askari kutoka makao makuu ya
polisi ni very corruptive,sidhani toka kituo hicho kimeanza kazi kama
kuna kesi hata moja imefikishwa mahakamani,wanacompromise na waharifu
kuliko kawaida sababu ya rushwa.

Nimetoka hapo asubuhi hii kufuatilia malalamiko yangu nimekuta mpelelezi
wa kesi anakunywa chai na mhalifu ambaye ndio kasettle bill mbele ya
macho yangu,hii ni hatari ila kwa upande wangu kitaeleweka tu na simpi
mtu mia.

teh teh teh pole sana na wewe ungepanda dau, hakuna idara ambayo ni clean kuanzia kwenye familia tunachakachuana
 
Back
Top Bottom