technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,499
- 50,988
Unauliza swali au?Polisi pia ni wezi!
Nauliza tuUnauliza swali au?
Atatoka wapi xaxaBila shaka uyo mbunge ni wa ccm.
kweli kabisa,angekuwa wa upinzani angeshakamatwa.Bila shaka uyo mbunge ni wa ccm.
Kama alijua kwamba tutanunua magazeti alikuwa na umuhimu gani wa kurusha taarifa yake hapa?Kanunueni gazeti, mnafikiri linachapishwa bure