M mwanamapinduzi 74 Member Joined Sep 2, 2014 Posts 6 Reaction score 0 Sep 27, 2014 #1 Swali najiuliza yale mamilioni ya faini wanazo toza askari wa usalama barabarani zinafanyiwa ukaguzi vile vitabu 2: ni halali polisi kukusanya faini njiani 3.kama halali kwanini wasitumie efd machine.zinazotoa risiti halali
Swali najiuliza yale mamilioni ya faini wanazo toza askari wa usalama barabarani zinafanyiwa ukaguzi vile vitabu 2: ni halali polisi kukusanya faini njiani 3.kama halali kwanini wasitumie efd machine.zinazotoa risiti halali