eumb
Senior Member
- Apr 2, 2012
- 149
- 70
Imekuwa jambo la kawaida sasa kwa polisi wa ferry upande Magogoni kudharauliwa na kutukanwa na madereva wanaovunja sheria kwa kutokufuata foleni na kuchomekea wengine hasa nyakati za jioni.
Askari wanapotaka kuwachomoa pale wanapochomeka, wanashia kupewa lugha za kejeli na kudhalilisha. Nimejulishwa kuwa wengi wao ni Wanajeshi wastaafu na viongozi serikali hivyo endapo polisi watajaribu kuwachukulia hatua basi kibao kitawageukia polisi.
Hali hiyo Ina ukweli kwasababu tumeona brbr nyingine Askari wanavyowabana wanao 'tanua'. Duh, hii ndio Bongo kweli!!??