Kamishna wa Tume ya Katiba akizungumza katika kipindi cha Pambanua kinachorushwa na Channel 10 amewahasa wale wenye busara ambao wanashauri ukawa warudi pia watoe ushauri wao juu ya ukawa warudi vipi katika mazingira yaleyale yaliyosababisha watoke. Pia washauri upande wa pili kubadilika.
Kwa kifupi ni kwamba CCM hawataki katiba mpya ipatikane kwa kuwa suala la katiba halikuwemo katika ilani yao ya uchaguzi wa mwaka 2010. Ilani hii ilikuwa ni ya CDM, hao CCM wameiparamia tu..
Kinachowaponza UKAWA kutorudi bungeni ni aibu, wanashindwa namna ya kuanza kurudi, ukichukulia ukweli kwamba hakuna sababu yoyote ya maana iliyowatoa nje ya bunge!
Kinachowaponza UKAWA kutorudi bungeni ni aibu, wanashindwa namna ya kuanza kurudi, ukichukulia ukweli kwamba hakuna sababu yoyote ya maana iliyowatoa nje ya bunge!
Kwa hali ilivyo huyu kijana POLEPOLE ni vema wapenda haki na maendeleo ya nchi hii wakamuwekea ulinzi kwani kama Dr. Mvungi aliweza kuvamiwa na kushambuliwa na kusababisha kifo chake yasije yakamkuta na huyu kijana kwani maoni yake mengi yanaegemea upande wa wananchi kitu ambacho wale wazee wa kile chama cha kutesea watu kule mabwepande hawataki kukisikia na wapo tayari kumtoa uhai atakayeonekana anapingana na wanachokitaka
Kinachowaponza UKAWA kutorudi bungeni ni aibu, wanashindwa namna ya kuanza kurudi, ukichukulia ukweli kwamba hakuna sababu yoyote ya maana iliyowatoa nje ya bunge!
kiukwel pole pole ni kijana mzalendo wa kitanzania mwenye muono wa mbali na fikra sahih lait CCM wangezskliza busara n hekima za watu kama hawa Tanganyika ingefka mbali huyu n tunu na hazina ya taifa umetisha kwa kauli yako