K Kihava JF-Expert Member Joined May 23, 2016 Posts 4,814 Reaction score 4,158 Jan 24, 2018 #21 mtanzania1989: Ahaaa! Kumbe ninyi mnavyokesha kumponda Mbowe kila kukicha kumbe mna mwogopa. Asante kwa tafsiri kuwa mtu akiongelewa sana anaogopwa. Basi upinzani unaogopwa sana, maana kila kukicha Lumumba hamuachi kuuongelea upinzani.
mtanzania1989: Ahaaa! Kumbe ninyi mnavyokesha kumponda Mbowe kila kukicha kumbe mna mwogopa. Asante kwa tafsiri kuwa mtu akiongelewa sana anaogopwa. Basi upinzani unaogopwa sana, maana kila kukicha Lumumba hamuachi kuuongelea upinzani.
Tetty JF-Expert Member Joined Jan 6, 2012 Posts 26,355 Reaction score 21,422 Jan 24, 2018 #22 Tairi bovu said: Kama unafiki una madaraja basi wewe na kina jinga jingga lao mtakuwa na daraja la kwanza. Mnafiki wakati kaongea ukweli .unafiki wake upo wapi Click to expand... Nimekujibu wewe alichoongea ukweli kipi?Hizi porojo za kudanganyia watu mkadhani wamedanganyika kume wanawachora tu kwa dharau. Ogopa sana mtu asiyeongea ,maana ukabwabwaja mwezio akitoka anakung'onga nakuendelea na maisha yake,unabaki oh Chama Dola,shauri yenu
Tairi bovu said: Kama unafiki una madaraja basi wewe na kina jinga jingga lao mtakuwa na daraja la kwanza. Mnafiki wakati kaongea ukweli .unafiki wake upo wapi Click to expand... Nimekujibu wewe alichoongea ukweli kipi?Hizi porojo za kudanganyia watu mkadhani wamedanganyika kume wanawachora tu kwa dharau. Ogopa sana mtu asiyeongea ,maana ukabwabwaja mwezio akitoka anakung'onga nakuendelea na maisha yake,unabaki oh Chama Dola,shauri yenu
K Kihava JF-Expert Member Joined May 23, 2016 Posts 4,814 Reaction score 4,158 Jan 24, 2018 #23 Ni aibu mbunge wa Chama tawala anashinda kwa kura chini ya 1,000 tena huku tanzania bara!
Bowie JF-Expert Member Joined Sep 17, 2016 Posts 4,373 Reaction score 6,087 Jan 24, 2018 #24 Naona Pole Pole anajenga nyumba ya Barafu ndani ya CCM ambapo ifikapo 2020 itakuwa imeyeyuka kabisa.