Polepole bwana

Polepole bwana

sura yake mbaya ka mchawi.nakisimama jukwaaan sjui nan atamskilza maana haiba hana
 
jamaa kajiharibia vibaya...alipendwa sana na mass hasa vijana ila kwa sasa mhhh
 
ndani ya ccm wengi ni watuhumiwa. toka mgombea urais mpaka mgombea ubunge...
 
Msimamo wake umeeleweka, Msigwa kaishia kujaribu kum-attack bila ya kuchambua hoja ya kijana,eti analazimisha ngono na alifanya ubadhirifu wa laki sita.Aibu sana,wananchi wanataka kujua kwa nn huyu mwizi Lowassa anakaribishwa na kupewa fursa adhimu km hiyo?Nini misingi ya Ukawa?mkisema kumuweka mamlakani fisadi nguli,vipi kuhusu yale yote ya rasimu ya Warioba na maandamano kupinga ubadhirifu?
Watu wamepoteza uhai mkipinga wala rushwa na mnaowaita kuwa ni wakandamizaji?leo yote yamekuwa ni sawa na kupoteza muda,that's why wenye akili zao kama Slaa na Lipumba wamewaachia mchakato wenu usio na dira.
 
kesha zeeeka na umri mdogo alionao, utadhania babu kumbe roho mbaya na tamaa alionayo!
Nilidhani huyu Polepole ameajiliwa makini kumbe ni mbangaizaji kwenye NGO uchwara. lazima ajikombe kwa CCM!
 
Msimamo wake umeeleweka, Msigwa kaishia kujaribu kum-attack bila ya kuchambua hoja ya kijana,eti analazimisha ngono na alifanya ubadhirifu wa laki sita.Aibu sana,wananchi wanataka kujua kwa nn huyu mwizi Lowassa anakaribishwa na kupewa fursa adhimu km hiyo?Nini misingi ya Ukawa?mkisema kumuweka mamlakani fisadi nguli,vipi kuhusu yale yote ya rasimu ya Warioba na maandamano kupinga ubadhirifu?
Watu wamepoteza uhai mkipinga wala rushwa na mnaowaita kuwa ni wakandamizaji?leo yote yamekuwa ni sawa na kupoteza muda,that's why wenye akili zao kama Slaa na Lipumba wamewaachia mchakato wenu usio na dira.
Subiri dira utaiona. Wewe hujui kabisa, Lipumba was at a brink of being flushed from CUF! Infact amepata njia ya kutokea tu.
Kwa nn mnam-attack Lowasa, mbona magwiji wa ufisadi akina Ana Tibaijuka na Chenge wamepitishwa ubunge na CCM, pamoja na uchafu wote walio nao. Just imagine Chenge, yupo kwenye Rada, escrow, meremeta etc. CCM nad JK hawaoni wanaona Lowasa, stupid! Slaa hajui kuwa upinzani analenga wapi, final destination. Hata kama angeligombea urais asingeliweza kwenda popote mbele ya CCM/Lowasa (in case wangelimpitisha)/Magufuli. Muda mwingine ukubali facts kuwa you are going up an impossible gradient
 
Back
Top Bottom