Kuna kitabu ambacho kimeandikwa na mwandishi Daron Acemoglu. Kinaitwa "why Nations fail" Acemoglu asema kwamba nchi nyingi Africa "Institutions" ni dhaifu mno. Hivi kwamba umaskini waongezeka ilhali walio na nguvu za kisiasa (political elite and their cronies expropriate countries wealth) wananyanyasa wanainchi na kuharibu uchumi.