Poleni wanaCCM mnaolia na kusaga meno

Poleni wanaCCM mnaolia na kusaga meno

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,170
Reaction score
8,622
Naona kila kona Tanzania mnalalamika kukatwa watu wenu mliowapogia kura na kuwataka wawe wawakikishi wenu

Huu ni utaratibu mbovu na usiofaa maana ....
 
Waambie wajiunge na kampeni ya no reforms no election
 
Naona kila kona Tanzania mnalalamika kukatwa watu wenu mliowapogia kura na kuwataka wawe wawakikishi wenu

Huu ni utaratibu mbovu na usiofaa maana ....
Watanzania tunapenda kukuza sana mambo; mbona ni majimbo kama 10 tu kati ya 220+... JPM alikata watu wangapi??? Kibao... kimsingi CCM ndio wanataka kuongelewa hivi lakini kimsingi ni jambo lankawaida tu CCM na halitokei kwa mara ya kwanza...
 
Eti mnapigania ugali wa wengine,akishapata madaraka hakujuwi kwa chumvi Wala sukari halafu Leo eti unalialia eti mtu wangu kakatwa,mm siwezi hata kupoteza muda kukaa foleni eti nikamchague Fulani uchaguzi wa kisanii huui,
 
Back
Top Bottom