Poleni waathirika, shukrani na hongera kwa makomando kwa kukamilisha shughuli

Walikuwa wanajua mchongo hao
 
Pole sana Watani wetu Mungu awe nanyi katika kipindi hiki kigumu, Hongera sana kwa vikosi vya ulinzi na usalama kwa kuthibiti hali hiyo
 
pongezi ziende kwa maafisa wote wa vyombo vya ulinzi na usalama. Don't single out mmoja.
 
Poleni sana Wakenya, pole pia kwa "Rais wa Wananchi" mtukufu Raila Odinga
 
Aisee uwanja wa vita ni sehem nyingine meku. Inahitaj umakin. Usidhan ni rahisi kama unavyodhan.
Magaid wanaua watu wasio na silaha. Kwann wasivamie kambi ya makomandoo.. then tuone nani atatoka mwanaume
Siyo pongezi. Wazidishe mafunzo. watu 4 wanawasumbua hours and hours??? Sasa bona riport za hospital zinasema zimeshapokea maiti 17?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni sana ndugu na majirani zetu pia hongereni kwa kazi ngumu na iliyotukuka kuwamaliza mazombi yasiyo na huruma, ubinaadamu na ni majitu yasiyoelezeka nadhani Mungu ameyaleta duniani kwa bahati mbaya.
 
Hapo magaidi wote lazima walazwe haijarishi itachukua siku ngapi.
Polisi wana vile vikosi vyao hatari sana,vimebobea ktk mapigano ya kwenye majengo.

Kenya wana kile kikosi kinaitwa RECCE
TZ wanakile kikosi cha CRT.
Hatari sana hao jamaa.!

5/5.
 
Aisee uwanja wa vita ni sehem nyingine meku. Inahitaj umakin. Usidhan ni rahisi kama unavyodhan.
Magaid wanaua watu wasio na silaha. Kwann wasivamie kambi ya makomandoo.. then tuone nani atatoka mwanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
Ile kambi ya KDF kule Kenya iliyotekwa yote ilikua ni kambi ya wanafunzi au kambi ya jeshi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo magaidi wote lazima walazwe haijarishi itachukua siku ngapi.
Polisi wana vile vikosi vyao hatari sana,vimebobea ktk mapigano ya kwenye majengo.

Kenya wana kile kikosi kinaitwa RECCE
TZ wanakile kikosi cha CRT.
Hatari sana hao jamaa.!

5/5.
Tatizo la magaidi wao vita kwao haviishi
Na kupigana na mtu aliyejitolea kufa ni shida!
Hapo Inabidi wangalie namna gani ya kuwateketeza kabisa mpk kiini Chao
Ila kwa Hali iliyotokea kenya ndy kwanza Hawa washnz alshabab wanafurahia

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…