Pole sana mdau soka ndivyo lilivyo

yanini mapresha yote hayo? Si aachane na hilo litimu linalompa presha?
Na kweli yanini kushabikia team yenye kawaida ya kushinda magoli 5,7 siku ikifungwa kwa tabu unalia...ni afadhali kushabikia team inayoshinda kwa sare tu...hakuna kulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…