chawa wa mama
JF-Expert Member
- Jun 8, 2020
- 292
- 1,087
In April, the unemployment rate in the United States increased sharply to 14.7 percent, the worst since the Great Depression of the 1930s. About one in every seven Americans in the labor force was out of work. ... But nearly 4,147,000 unemployed people were not on a temporary layoff, an increase of 1,584,000 since April.Sep 12, 2020.Miaka ile wakati Dr. Kiiza besige akipigwa hadharani na polisi wa Uganda huku wakimweka kizuizini wakati wa kampeni na katika maisha yake ya kawaida, kwa kosa la kushiriki siasa na kugombea nafasi ya urais, niliwaona waganda ni wajinga...
In UK they have the Jobseeker's allowance which covers the living expenses for those who are out of workIn April, the unemployment rate in the United States increased sharply to 14.7 percent, the worst since the Great Depression of the 1930s. About one in every seven Americans in the labor force was out of work. ... But nearly 4,147,000 unemployed people were not on a temporary layoff, an increase of 1,584,000 since April.Sep 12, 2020...
Sasa wewe na akili yako hiyo job seekers allowance inatoka kwenye mti? Si inazalishwa.In UK they have the Jobseeker's allowance which covers the living expenses for those who are out of work
Nadhani wale wameshakamilisha mambo ya umeme, barabara, maji n. k., hivyo wanayo pesa ya kutosha kutoa posho hizo.In UK they have the Jobseeker's allowance which covers the living expenses for those who are out of work
Sawa mkuuSasa wewe na akili yako hiyo job seekers allowance inatoka kwenye mti??? Si inazalishwa.
Wewe kwa ajili yako unataka Baba yako akulishe toka uko mdogo mpaka unazeeka, wakati theory za kiuchumi haziruhusu hiyo concept, wewe ukisha maliza masomo kajitegeme, mpunguzie Mzee mzigo naye ajitayarishe kwa retirement yake.
Lakini in Africa kama Tanzania, kuna alternative means of engaging yourself in a productive activities, kama ukulima, ufugaji, agro processing n.k n.kSawa mkuu
Izo Unemployment benefits wanapewa watu ambao wako out of work temporarily kwa sababu za kiuchumi.
Kama mtu ameacha kazi mwenyewe au kafukuzwa kazi hapewi izo benefits.
My point is the unimployments effects on the african society are more serious